The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,158
- 51,087
Hiyo ni kawaida sana,kwenye majanga siku zote ndio kwenye fursa.Kila janga linalokuja/ kutokea/kuletwa ni fulsa kwa watu makini na kutengeneza pesa na kuwa mabilionea

Ndio maana Mimi sasa hivi baada ya kujua kwa kufanya utafiti binafsi huko zamani nilikuwa nasikiliza documentary za maconspiracy ika sasa sishtuki juu ya chochote nitakachotangaziwa nishtuke.Umechelewa sana kujua
Vzri hao usiwaamini sana pia. Kama uko makini utakumbuka jinsi kituo cha Aljazeer kilivyoshambuliwa enzi za vita vya afganstan Kisa kilitoa habari ambazo haziifurahishi US baada ya hapo licha ya kuunga Matangazo na aljazeera station nyingine hadi Leo hawako huru kihivyo, angalau kidogo Russia Today japo nayo ni wale wale. Zile habari zipokee ila usiziamini asilimia mia papo hapo maana vile vi viwanda vya propaganda na censorship Kubwa sana inafanyika Kabla ya kutokaUnafikiri mimi niliziona habari? kupitia runinga za waganga wa jadi?
BBC, VOA na DW wameripoti sana hali ya ugaidi Kaskazini mwa msumbiji.Tatizo lenu wengi mnasikiliza zaidi wasafi media habari za mama Diamond.
Mkuu usishangae kuambiwa ww ni mshamba, chizi,mwendawazimu na wala usitegemee kueleweka na wajanja, werevu na wasomi wa kisasa labda sisi machizi na wendawazimu wenzio ndio tunawezaongea lugha moja na kuelewana. Kifupi hii dunia ni mahala pabaya sana hasa ukiamua kuutafuta ukweliInafikirisha.
Siku hizi Mimi hakuna kitu ninachoangalia kwa makini kama habari. Nyingi huko duniani nimegundua sio habari ni kama vile mind programming tu. Tunaelekezwa
Tupende nini
Tuchukue nini
Tufanye nini
Tusifanye nini
Sisi wafrika ni watu wajinga sana. Kila kitu tunawasingizia mabeberu. Hiyo maralia ina muda gani tangu igunduliwe? Kwann msitengeneze dawa zenu na chanjo? Hiyo misaada mnayopokea kutoka kwa mabeberu kwanini msiikatae?Iyo ndo kazi ya mabeberu.kueneza propaganda. zao kufikia malengo yao.wanayotaka maana corona nikama maralia tu.kwetu kufa sio sana.wanaipa promoted ionekane tishio ili tununue chanjo.zao.wapige ela kuusu swala LA vita kupungua wao ndo wanaouza sirahaa sasa wametulia.wapige mchongo wa chajo.
Kwa ufupi tu,Haiwezekani ikitokea janga moja mengine yote yanasimama kusubiri utadhani wanaambiana.
Mfano:
Ilupotokea Corona, sijasikia ugaidi, vita vya Syria, sijui Boko haramu wala njaa duniani.
Ilipokuwa anapigwa sadamu ana Osama na Mullar Omari wanasakwa mambo mengine yote hayakusikika hadi hilo tulilopangiwa kufikiri, kutafakari liishe.
Sasa tuwe wakweli. Kwa jinsi magaidi tunavyoaminishwa ni watata nani amewaambia wasikilizie kwanza hadi upepo wa Covid upite. Hizi kumbe huwa ni Sanaa za kimataifa. Hata Boko haram hawasikiki kabisa. Utadhani dunia inatimetable ya nini tusikie na kwa wakati gani.
Hata kwetu Tangu kadudu kalipokuwa imported na kukatimua kwa maombi na baadae shetani kukapenyeza kiaina japo tutakavyekelea mbali kwa dua tena soon.
1: Hakuna habari za kipindupindu, wakati zamani kila mwaka utasikia kuna kambi kwa mnyamani Buguruni.
2: Hakuna wasiojulikana.
3: Ajali za kuua watu wengi kwa mkupua hazipo.
4: Mafisadi na watu wa kutumbuliwa hawaonekani.
5: Mafuriko huko MTO mkondoa Kilosa hayasikiki.
6: Hakuna vita sijui vya wamasai na wakulima.
Najaribu kuwaza ni Mungu anatuepushia matatizo yasibebane au kuna jamaa wanaremoti wanatupangia sisi darasa la nne tusiojua kufikiri vya kufikiri na nini tusikilize kwa wakati gani.
Swadakta umesema kweri akhiiukiambiwa kuna watu wanaendesha dunia ue unaelewa.wanaamua habari ipi itoke.ipi isitoke.kwangu.EBOLA.ilikuwa tishio kuliko hii coronya.
ukiambiwa kuna watu wanaendesha dunia ue unaelewa.wanaamua habari ipi itoke.ipi isitoke.kwangu.EBOLA.ilikuwa tishio kuliko hii coronya.
Wanaiendesha dunia ya wanyama😄😄😄Naona nzige wa SIHA wanatafuta kiki nao.
Mkuu ulishawahi kujiuliza hawa donors wanatoa funds kwa NGO'S pesa wao huwa wanatoa wap? Pesa zao wanazotoa kusupport znarud vp?Haiwezekani ikitokea janga moja mengine yote yanasimama kusubiri utadhani wanaambiana.
Mfano:
Ilupotokea Corona, sijasikia ugaidi, vita vya Syria, sijui Boko haramu wala njaa duniani.
Ilipokuwa anapigwa sadamu ana Osama na Mullar Omari wanasakwa mambo mengine yote hayakusikika hadi hilo tulilopangiwa kufikiri, kutafakari liishe.
Sasa tuwe wakweli. Kwa jinsi magaidi tunavyoaminishwa ni watata nani amewaambia wasikilizie kwanza hadi upepo wa Covid upite. Hizi kumbe huwa ni Sanaa za kimataifa. Hata Boko haram hawasikiki kabisa. Utadhani dunia inatimetable ya nini tusikie na kwa wakati gani.
Hata kwetu Tangu kadudu kalipokuwa imported na kukatimua kwa maombi na baadae shetani kukapenyeza kiaina japo tutakavyekelea mbali kwa dua tena soon.
1: Hakuna habari za kipindupindu, wakati zamani kila mwaka utasikia kuna kambi kwa mnyamani Buguruni.
2: Hakuna wasiojulikana.
3: Ajali za kuua watu wengi kwa mkupua hazipo.
4: Mafisadi na watu wa kutumbuliwa hawaonekani.
5: Mafuriko huko MTO mkondoa Kilosa hayasikiki.
6: Hakuna vita sijui vya wamasai na wakulima.
Najaribu kuwaza ni Mungu anatuepushia matatizo yasibebane au kuna jamaa wanaremoti wanatupangia sisi darasa la nne tusiojua kufikiri vya kufikiri na nini tusikilize kwa wakati gani.
Haiwezekani ikitokea janga moja mengine yote yanasimama kusubiri utadhani wanaambiana.

Ebola yenyewe ni Dubwana la kuchonga tuukiambiwa kuna watu wanaendesha dunia ue unaelewa.wanaamua habari ipi itoke.ipi isitoke.kwangu.EBOLA.ilikuwa tishio kuliko hii coronya.
Nasikiliza BBC World Service kipindi cha Newshour, niko dakika ya 17.Haiwezekani ikitokea janga moja mengine yote yanasimama kusubiri utadhani wanaambiana.