MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Mtoto lina alijifungua mtoto May 1939, Katika nchi ya peru.
Alianza kuingia katika siku zake akiwa na miaka mitatu, wakati wastani ni miaka 12 na nusu.
Hili ni tukio ambalo hadi kesho halijapatiwa majibu iliwezekanaje, mwanzoni wazazi walifikili anaugonjwa wa tumbo kuvimba.
source:Youngest Mother
1. La Presse Medicale. "La Plus Jeune Mère du Monde."
47(38): 744, 1939 (13 May 1939).
2. La Presse Medicale. "La Plus Jeune Mère du Monde."
47(43): 875, 1939 (31 May 1939).
3. La Presse Medicale. "L'ovaire de Lina Medina, la Plus Jeune Mère du Monde."
47(94): 1648, 1939 (19 December 1939)