Dunia ina maajabu yake

Dunia ina maajabu yake

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Leo kipindi natoka zangu Church nimekutana na dada mmoja njiani alikuwa hajui wapi ameweka simu yake akaniomba simu ili ajipigiye.

Nikampa kwa amani kabisa kwa bahati nzuri akapiga simu yake ikaita na akajua wapi ndo alikuwa ameweka simu maana alifikiri labda vijana wameshafanya yao basi tukaachana mimi nikaondoka zangu.

Kufika hii jioni amenitumia sms ya kunitukana bila kosa

Dunia ina maajabu yake
 
Leo kipindi natoka zangu. Church nimekutana na dada mmoja njiani alikuwa hajui wapi ameweka simu yake akaniomba simu ili ajipigiye simu
Nikampa kwa amani kabisa kwa bahati nzuri akapiga simu yake ikaita na akajua wapi ndo alikuwa ameweka simu maana alifikiri labda vijana amesha fanya yak basi
Tukaachana mimi nikaondoka zangu

Kufika hii jioni amenitumia sms ya kunitukana bila kosa
Dunia ina majabu yake
Mmh mkuu mtu akutukane bila kosa kweli,??
Yani apige simu afu aanze kukutukana, hujafanya jambo kwel,
 
Leo kipindi natoka zangu. Church nimekutana na dada mmoja njiani alikuwa hajui wapi ameweka simu yake akaniomba simu ili ajipigiye simu
Nikampa kwa amani kabisa kwa bahati nzuri akapiga simu yake ikaita na akajua wapi ndo alikuwa ameweka simu maana alifikiri labda vijana wamesha fanya yao basi
Tukaachana mimi nikaondoka zangu

Kufika hii jioni amenitumia sms ya kunitukana bila kosa
Dunia ina majabu yake
Screenshot hiyo msg tuione?
 
Mafundisho Ya Church umeyapuuza nini hawajakwambia Samehe 7 Mara Sabini, nini Sasa uje umfungulie Uzi Kbs?
 
Share hiyo namba...uyo kachanganya mafile...ila alichukua yako ukamle..sasa leta nitembelee nyota yako apo
 
Nikwamba hujui kwann kakutukana au ndio unataka iwe mada,..ilibidi ujiongezee!
 
Polee mkuu

Kaona amekup number alafu umtongz
 
Sema tu ukweli ya kwamba ulimtongoza kakutolea nje,, alishakuona wewe sio mlamba asali na inawezekana pia ulivaa kisabato!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom