Dunia imetiwa unajisi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dunia imetiwa unajisi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Konzogwe, Nov 2, 2008.

 1. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Jamani dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa! Ndo maana magonjwa! Njaa! Vita! Matetemeko! Tsunami! Cathlina nk. Nabii ISAYA 24:6,7 anasema ni kwa sababu tumeasi sheria,tumebadili amri,tumelivunja AGANO LA MILELE! ndo sababu laana imeila dunia.

  Je,unalijua agano la milele???

  Kama hulijui soma KUTOKA 31:16-17. Anasema agano la milele ni SABATO!.....Kuiangalia sana hiyo sabato ni agano la milele.

  Baada ya kusoma ujumbe huu,unaombwa ucopy na tuma e-mail kwa watu 10. Kwa kufanya hivyo utasaidia kuiponya dunia.
   
Loading...