Dunia imesimama kidete kumng'oa Yahya Jammeh

Dunia imesimama kidete kumng'oa Yahya Jammeh

Halafu viongozi wa afrika wanalalamika kwanini wao tu hupelekwa The Hague(ICC) kwa upumbavu huu lazima wapelekwe tu.

Kuna mhuni mmoja alikuwa anaipinga ICC nikamwambia ukitazama mabara mengine upuuzi na ukandamizaji dhidi ya raia umepungua au umekwisha kabisa lakini Afrika ndio kwanza mambo ya kijinga yanashamiri.

Jambo hili la hovyo liliwahi kuzungumzwa na Mwl Nyerere wakati huo akiongoza South south commission.
 
Africa ni bara la giza naanza kuamini kidogo kidogo
 
Jitu nimeshindwa linalazimisha kutawala kwa nguvu. Africa ni bara la hovyo sana
 
Yahya jammeh alijisahau kuwa ni mwafrika alizani yeye ni mzinga alipokumbuka Matokeo mnayajua.
 
Viongozi wengi wa bara la Afrika wanakuwa wagumu(ving'ang'anizi) kuachia Madaraka,hii yote ni Hofu kubwa waliyonayo.

Hofu inayosababishwa na Jinsi walivyosigina sheria na katiba za Nchi zao na uchafu mwingi
walioutenda,
JE Wakiachia Madaraka Hawatashitakiwa..hicho ndicho kitendawili chao kikubwa.

---AFRIKA BADO TUNASAFARI---
 
Back
Top Bottom