Dunia imeisha!


Kaka upo dunia gani ww kusema story ni ya kupika,kweli niache kupika story za wizi wa mume wa mtu,how disgusting wud i be kupika story ya kuingiliwa kwa mtoto?ucdhani dunia unayoishi ndani ya fence yenu then its all rainbows and roses mambo ni mabaya huku mtaani.
 

Miaka mi3 she is aminor kabisa
 
Kitoto cha miaka 3? Uongo mwingine bwana

Pamoja kwamba sijasoma comments zote lakini mtoto wa miaka mitatu aingiliwe mbele na nyuma tena kila siku akili inagoma kuamini.

Daaaah kama ni kweli basi ni ukatili uliopitiliza ambao ni kwa imani za kishirikina tu unawezekana.
 

Inawezekana hujapika lakini umekosea miaka ya huyo mtoto, miaka mitatu ni midogo sana kufanyiwa tukio jilo kisha iendelee kuwa siri kama kweli ilikuwa ni sex au vinginevyo? Labda kama baba mtu alikuwa anamfundisha uchawi mtoto wake lakini si kumuingilia.

Hata mtu mzima kumuingilia nyuma ni issue sembuse mtoto, hayo maumivu yake asingeweza kuvumilia!!!

Hii story imekaa kufikirika zaidi na kuamini kama Mungu yupi au hayupo???
 
Tatizo la kuwa bizy na kuishi kizungu hana mda na mwanawe kutwa yupo na housegal
 
Jamani kwa yoyote anaona nimepika hii story au nimekosea umri uni pm cku kesi ikienda pale mahakamani kino ntakuambia,thats all
 
It will take me years to believe on this story. Otherwise uniambie ni kwa njia za giza. Lakini katika hali ya kawaida ambayo kila mtu anaweza kuona, bado hujanishawishi mkuu. I am sorry for being too much Tomaso. But ni ngumu sana kuniaminisha hilo.
Mtoto wa miaka mitatu, hata kidole kidogo cha mkono tu hakipiti, halafu unambie anaingiliwa. Halafu hata kama ikiingia inafika wapi? Maana kama jamaa ana length ya hata nchi nne tu, akiingiza inakuwa ishafika kwenye utumbo, si mbele wala si nyuma. Scientifically hicho kitu hakipo, labda kwa uchawi.
 
Ni lazima tutumie akili, siwezi kukubishia kwa maana mimi sikuwepo kwenye tukio lakn nina maswali mawili ya kukuuliza mleta mada. 1. Je hiyo ndo ilikuwa mara ya kwanza kwa huyo mtoto kuingiliwa au huyo mama mwenye nyumba anasema ni kila siku? Kama ilikuwa ni mara ya kwanza, nahc mtoto angelia isivyo kawaida. Kama mtu mzima anatolewa bikra lakn anapiga kelele iweje kwa mtoto mdogo tena mbele na nyuma si angelia kilio kisichobembelezeka? 2. Kama ilikuwa ni kila siku huyo mtoto alikuwa haogeshwi? Ina maana mwezi mzima hakuna siku hata moja wala saa au hata dakika mama anamuhudumia mwanae ila yy kila siku ni kazi? Nachelea kusema imani nyingine zaweza husika na mama anaweza kuwa anajua, ila hataki kusema tu, na inawezekana ndo siri ya mafanikio yao.
 

Hicho kitendo alikuwa anakifanya mda mrefu tu,mam wa jirani aligundua baada kuona kila mara wazazi wakitoka mtoto hulia sana kwann?alipo mhoji dada kwann analia akasema anakwaga anacheza babae chumbani ndo mama mwenye nyumba kuchunguza,2.mama wa jirani uzungu mwing yy hujua kumtoa mtoto outings tu nna shaka kama aliwahi hata chukua wasaa wa kumuogesha mwanawe.
 
Mm na ww hatujui lakini ni baba wa heshima na biashara zake nyingi,na ni ktendo alikuwa anakifanya cku ya fumanizi haikuwa cju ya kwanza labda alifanya hivo ikiwa no masharti ya sangoma.
 
Kama ni ya kweli Mungu atuepusha na laana hizi zisizopimika
 
haya mambo yapo acheni kupinga.wazazi wengine hawana muda na watoto wao
 


Dunia ipo..! Tatizo ni kuongezeka kwa kasi kwa Wagonjwa wa akili
 
Mungu ana kazi jamani, tena kubwa sana, mi sijui mtu kama huyu anamfanyaje?
 
Dahhhhhhh!aiseee dunia ipo ila watu ndio hawapo sa hivi binadamu ndio wengi na watu wachache.
 
Uwiiii wanaume jmn,ni nini hiko..unashindwa nini hata kununua malaya ,dah nikija kuzaa eh Mungu nilindie watoto..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…