sawa cha msingi n kuidandia tu hiyo Nibiru na kusepa nayo![]()
Kapate supu kwanza
tusipinge sana hata wakati wa nuhu watu walibisha hivyo mm naogopaSasa sisi hiyo story inatuhusu vipi?
Kwanza nimeanza kuzisikia habari hizo tangu mwaka 1993 kuwa kuna lisayari linakuja kuipiga dunia hadi leo story ni hiyo hiyo.
Ndiyo maana napata hisia kuwa hiyo story wala haituhusu sisi.
Nmejifunza mengi kweny hli swala