Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Haha I wish ningemuona huyu alhaj I'd aminI was a good soldier in the British Army. I was born in a very, very poor family. And I enlisted to escape hunger. But my officers were Scottish and they loved me. The Scots are good, you know.
By: Idi Amin
Mbona hutaji tangagiza... Huna m 7 tutakuchangia[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]zanzbar! burundi! uganda! rwanda!
Kajidai elimu elimu elimu utafikili yeye alifundishwa shule kumbe wote tumeona kwenye videoUngeweza kabisa kumsahihisha na kujibu kwa staha bila kuandika maneno ya kashfa kwa dini ya mwenzio.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Idi alikuwa fyatu... Ila pia wacha awakomeshe. Maana hata sie walitufiligisa na ndo Kazi hata wabeba mabox Wanafanya huko ubaya ni saa hizi
Kama kuna kitu wazungu walimchukia Amin ni ku order mabalozi wambebe.
kusema ukweli zaidi ya nyerere kuadabisha huyu nduli AMINI DADA sina baya lake lolote ninalolijua labda kwa kuwa kipindi hicho mimi sikuwepo...na vile vile siku pata bahati ya kuhadithiwa...nimeambatanisha hiyo video ya mchekeshaji maarufu wa uganda ebu check kisha uniambie ni ipi tofauti ya WAHAYA pale kagera na huyo mganda....
Duluth.... giantJamaa akiwa pembeni mwa pool.
Unatumia kigezo gani kumuita Idd Amin Field Marshal?"His Excellency President for Life, Field Marshal Alhaji Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE". Pambafu kweli kweli.
iliyokuwepo kati yangu mimi na wewe ni kuhusu chanzo cha vita ya kagera..Mimi sijaona anakata matiti na kula wala kujajisi wasichana,Narator Amejawa na chuki.Pia edited
Basi Huyo mwalimu wako aliyekufundisha hstory ni kilaza..alipata 4 form4 akaenda kwenye ualimu..Acha uongo nimesoma history primary to A level cjawah fundishwa habari za kuvamiwa na ndege toka Ug na si hili la vta hata historia nyngne za Tanganyika na Zenj cjawah fundishwa shule bali nimekuja Fahamu kwa kusoma sources tofauti eti bendera ya chama ndio kama ya nchi hv 78 bendera ya Taifa haikuwepo? We sema umeangalia video ile ya RTD now TBC acha kuandika kama umetoka Pulse club
Ulikuwa umezaliwa? Amefanya sana!Hiyo ni movie inaitwa the last king of scotland, vyote hivyo ni uongo tu.Hajawahi fanya vitu kamahivyo, ila alikuwa mbabe tu
Soma kitabu cha UTENZI WA VITA YA KAGERA utaona jinsi lijamaa lilivyokuwa linajipandisha vyeo kila kukichaUnatumia kigezo gani kumuita Idd Amin Field Marshal?
Yeye kujiita hivyo hailalalishi watu wamuite hivyo, alilipenda hilo jina/cheo lakini hakubahatita kulipata.Soma kitabu cha UTENZI WA VITA YA KAGERA utaona jinsi lijamaa lilivyokuwa linajipandisha vyeo kila kukicha
Hyo ni movie ya kwanza ya idd Amin ilichezwa na Mkenya anafanana sana na Idd Amin.Kwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo
1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa
Huyo mkenya aliitwa Joseph Olita na alifariki mwezi June, 2014 kutokana na shinikizo la damu. Pamoja na umaarufu alioupata katika muvi hiyo ya Rise and Fall of Idd Amin na katika muvi chache zingine alizoigiza lakini amekufa huku akiwa kazingirwa na umasikini. What a pity!Hyo ni movie ya kwanza ya idd Amin ilichezwa na Mkenya anafanana sana na Idd Amin.
hata bongo movie, kama si kujiuza wengi sana ni masikini ambao wanangangania kuishi maisha ya magizo hadi kitaaHuyo mkenya aliitwa Joseph Olita na alifariki mwezi June, 2014 kutokana na shinikizo la damu. Pamoja na umaarufu alioupata katika muvi hiyo ya Rise and Fall of Idd Amin na katika muvi chache zingine alizoigiza lakini amekufa huku akiwa kazingirwa na umasikini. What a pity!
hivyo vyeo alijitunuku mwenyewe.Unatumia kigezo gani kumuita Idd Amin Field Marshal?
nhahahaaa kalio ni sehemu ya mwili ya binadamu ya kukalia au kifaa chenyewe disambiguate!Sokoine moringe alimshauri J.K Nyerere amwite IDD Amini "nduli". Maana yake ni kalio
Sokoine moringe alimshauri J.K Nyerere amwite IDD Amini "nduli". Maana yake ni kalio