Unaongelea jumuiya ipi ya kimataifa? Ama Jumuiya ipi ya Afrika Mashariki? Hivi aliyemfurumsha huyo Heilongjiang, Idi Amin Dadaa anatokea jumuiya ipi?Kwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo
1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa
Hiyo ni movie inaitwa the last king of scotland, vyote hivyo ni uongo tu.Hajawahi fanya vitu kamahivyo, ila alikuwa mbabe tuKwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo
1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa
"His Excellency President for Life, Field Marshal Alhaji Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE". Pambafu kweli kweli.Hivi si Kuna mahakama ambazo zinahukumu hata waliofariki...
wazungu walifanya nae mengi mabaya ndiyo kisa aliishi kwa amani bila kufikishwa mahakaman had mungu akamchukuaHivi si Kuna mahakama ambazo zinahukumu hata waliofariki...
Kwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo
1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa
Alafu mademu alikuwa ang'oa kibabe"His Excellency President for Life, Field Marshal Alhaji Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE". Pambafu kweli kweli.
Wahaya Si wapo wanajua alichowafanyaHakuna waganda humu wa Enzi hizo watupe Hali halisi?!
Hahaha na HGL umesahau"His Excellency President for Life, Field Marshal Alhaji Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE". Pambafu kweli kweli.
lilivyokuwa jinga hata ile operation thunderbolt (kurescue mateka wa Israel) halikusoma alama za nyakati"niTafurahi malikia wa uingereza ukija kunitembelea nchini kwangu,usiku m nitalala chini we utalala juu yangu,namaanisha utalala ghorofani mi ntalala nyumba chini"..CBE IDD AMIN DADA
Mh wataweka chumviWahaya Si wapo wanajua alichowafanya