Dunia hii kuna watu wazuri sana ila sio wengi

Wakuu I hope mko shwari kabisa.

Kuna jambo liliwahi kunitokea kipindi mdogo, na sijawahi kulisahau mpaka Leo.

Siku ya kwanza kabisa mimi kupelekwa shule, nilifanyiwa kitendo cha ajabu sana na dada yangu mtoto wa mama mkubwa.

Nakumbuka ilipofika saa nne muda wa mapumziko, katika kutembeatembea pale shuleni nikamuona dada na wanafunzi wengine pale, kwa furaha kabisa nikawa naenda pale nikamsalimie.

Wakati naenda yeye hakuniona ila kuna mtoto wa bamkubwa wake alimwambia umemuona mdogo wako ameanza shule?

Ndo akaniona sasa, aisee alisonya halafu akamwambia yule dada yake kwamba, Mimi kwetu nimezaliwa peke yangu wala sina mdogo wa hivyo, yule mwenzake akamwambia si mtoto wa mama mdogo wako? akasema haimuhusu.

Aisee nilipata aibu ya kufa mtu nguvu zikaisha, akili ikawa haifanyi tena kazi nikawa nimeduwaa tu pale. Huku najuta nilifata nini pale kidogo nilie kabisa, alafu ukizingatia m bado mtoto kabisa alafu wao
ni wakubwa.

Sasa pale kulikua na mdada mwanafunzi mwenzao darasa la saba, alivyoniangalia akanisalimia ., alafu akamwambia dada yani una mdogo mzuri hivi unamkataa??

Yule dada akamwambia una laana ww mm siwezi kumkataa mdogo wangu. akasema tena angekua wakwetu huyu mngenitambua.

Sasa kuna mmama alikua anauza vitumbua pale na dada angu alikua amenunua kama vinne hivi akaambiwa mpe mdogo wako basi akasema kama hajaja na hela imekula kwake.

Yule dada nisiemjua akatoa mia mbili akanipa ninunue ila nikakataa, nikamwambia nmeshiba, itakua alijua kua siko sawa akavinunua yeye alafu akanisindikiza akaenda kunipa kule mbele huku akinipa pole kwa yaliyotokea,
Nikachukua nikarudi darasani. Vilikua vinauzwa 50/50 ni muda kidogo.

Yule dada akawa rafiki yangu kila siku ananitafta tunasalimiana, hata mitihani yangu alikua anaangaliaga, kifupi alikua mtu poa sana kwangu.

Isivyo bahati alinasa mimba aisee akaacha shule na sijawahi kumuona tena mpaka Leo, sjui hata aliendega wapi ni zaidi ya miaka 24 sasa, ila natamanigi sana nmuone nimpe zawadi yeyote ile maana alinisitiri sana.

Huyu dada angu sasa hivi amekuwa muhimiza upendo kweli alafu hajui kwamb sjasahaug alichonifanyia, ila mama mkubwa wangu yuko poa sana mme wake pia Sasa sjui mtoto wao ile roho aliitoa wapi, maana ulafi pale ndo makao makuu yake.

Kama nawewe una uliwahi pigwa tukio karibu

Isivyo bahati alinasa mimba aisee akaacha shule na sijawahi kumuona tena mpaka Leo, sjui hata aliendega wapi ni zaidi ya miaka 24 sasa, ila natamanigi sana nmuone nimpe zawadi yeyote ile maana alinisitiri sana

Thread 'Nina hakika hili lilishakutokea hata wewe' Nina hakika hili lilishakutokea hata wewe.
 
Mzee baba ulianza darasa la kwanza ukiwa mtu mzima?

Maana hizi hisia ulizozielezea ni nadra sana kwa mtoto anayeanza darasa la kwanza kuwa nazo...
 
Tangu nianze Jf kuna watu nimejua wana moyo mzuri Kabisa ila kuna mtu anamoyo mzuri sana kwangu National Anthem ulitoa gharama za kuuguza bibi yangu aliyenilea tangu nikiwa 2 years old mama alivyoniacha kwake,japokuwa mama alikuja kunichukua nikiwa 11years old lakin grandmaa she is my everything......Mwenyezi Mungu akubariki sana popote ulipo bro
Hongera sana mkuu kwa kukumbuka ulichosaidiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom