Dunia haina huruma

Kumbe ni shetani yuko kwenye kampenii...
 
Sasa sijui tukushaurije!
Mbona hukuja kuomba ushauri wakati wa kulainishana pm? Lea mimba hiyo na endelea kupita uani. Mtoto akishazaliwa tutapima dna. Sawa mwanangu?

hahahaha. Nawakati wanaanza inabid wawewanasema.
 

Kweli JF ina members wa aina mbalimbali; Wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa kama baadhi ya wana jamvi kama wana akili timamu.
Sina hakika kama mleta uzi huu yu mzima kichwani!!!!!!!!
 
Sasa jiandae, siku akikuambia na Ukimwi alionao ni wa kwako usipaniki....

kumbe watu wanavyoitana husband na waifu humu ndani huwa wanabanduana kweli Mwe!!!

tehe! Tehe! Samahan nimeshindwa kujizuia nimejikuta nacheka tu.
 
skuhzi kujiunga kabang imekuwa kitu cha kawaida sanaeeee!!?
 
mpwa kuna nini apa?

Hahaha...kuna jamaa huwa anabisha hodi mlango wa mbele na wa nyuma.

Kama akibisha mlango wa mbele huwa anavaa koti la mvua na huwa hatui mzigo wowote...

Lakini akibisha ule mlango wa nyuma huwa yupo mtupu hata nguo moja hana na anatua mizigo yote...

Sasa anauliza, iweje mzigo kautua nyuma lakini mwenye nyumba kaukuta ndani???

Anataka tumsaidie kuondoa huo utatraaa
 
mmmh kazi dunia hii... kuna makubwa wee funga naye ndoa ulivyokuwa unapita mlango wa uani ulitegemea nini kama kachanga kakijia huko hapo thatha. nimepamiss hapa jf kumbe kuna vituko mbavu zangu mie
 
mmmh kazi dunia hii... kuna makubwa wee funga naye ndoa ulivyokuwa unapita mlango wa uani ulitegemea nini kama kachanga kakijia huko hapo thatha. nimepamiss hapa jf kumbe kuna vituko mbavu zangu mie

we mic u too
 
Kuwa na aibu japo kidogo!

alafu nyie msitughasi apa aibu ya nn kila mtu afanyalo n jema machoni pake sasa aibu ya nn?? nimetumia tafsida bado unachonga pita kuleee
 
hahaha mkuu umenichekeeesha
 
Matunda ya uzinzi na uasherati, Lea mimba yako na chukua majukumu yako , ulidhani una cheza?????????
 
mwungwana
Unawezaje kuanika mambo ufanyao na gf wako humu, tena mmekutana humu jf... akisoma atajisikiaje?

Ila umesema kitu ambacho kimekuwa janga, hamna atakayekiri humu ila huu mchezo una wachezaji wengi sana! Nenda mawodini uone wanawake wanavyoabishwa, hata vijana wakikaa huko vijiweni wanaongea sana anasa hizi... hili ni janga lingine! God forbid..
 
Last edited by a moderator:
kama kaukuta ndani si kauingiz mwenyewe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…