Dunia haina huruma

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,275
Reaction score
1,222
hi MMU MEMBERS
heshima mbele dharau takoni
jaman nimekuja hapa kueleza yalonisibu mwenzenu kuna mdada tulikutana humu jf tukalainishana kwa PM kila mtu akaingia line tukaanza kudate miez miwili sasa na cha ajabu demu kaja na mimba anadai yangu wakat cjawai kwenda nae kavu hata cku moja kama n peku peku basi uani tu na nakumbuka ruti za uani zilikua nyingi kuliko seblen dem kadata anadai mimba yangu na anakazania tufunge ndoa nikifikiria msada niliompa na anayonifanyia naona dunia tambara bovu wakuu naomben ushauri please!
 
Kwanza mkuu hebu twende taratibu kidogo naomba unyooshe Kiswahili hapa, unaposema uani maana yake ni tundu lile jingine la mkiani ama?

uani ni mdomo wa samvu la kopo
 
WANAWAKE WAPENDA NDOA HAO.. TENA AKIJUA UMRI UMEENDA....

KUMBUKA ASILIMIA 40% YA WANAUME WANALEA WATOTO SI WAO.. Angalia usizidishe idadi
 
Sasa sijui tukushaurije!
Mbona hukuja kuomba ushauri wakati wa kulainishana pm? Lea mimba hiyo na endelea kupita uani. Mtoto akishazaliwa tutapima dna. Sawa mwanangu?

hatak kulea mimba anataka ndoa et nimemuaribia future
 
uani ni mdomo wa samvu la kopo

Hahaha...kwa hili ngoja ni :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth: ...

Wewe na yeye ni lini mara ya mwisho mlikutana kimwili?

Na je huo ujauzito kakueleza ni wa muda gani?
 
WANAWAKE WAPENDA NDOA HAO.. TENA AKIJUA UMRI UMEENDA....

KUMBUKA ASILIMIA 40% YA WANAUME WANALEA WATOTO SI WAO.. Angalia usizidishe idadi

mhh kwel mkuu nilimkatalia mimba c yangu analazmisha ndoa
 
Hahaha...kwa hili ngoja ni :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth: ...

Wewe na yeye ni lini mara ya mwisho mlikutana kimwili?

Na je huo ujauzito kakueleza ni wa muda gani?

anasema wa mwez na nusu mkuu cjawai ingia seblen kwake bila soksi
 
mhh kwel mkuu nilimkatalia mimba c yangu analazmisha ndoa

Punguza ushushushu Mwana!
...
Hiyo ndio issue ya kuomba ushauri?
...
We mchukue muende hosptili mukapimwe tu!!!
Akikataa kwenda hospitali, hako kameo ka mchina, katimue!
Kuwa Mwanaume bhanaa!
 
Punguza ushushushu Mwana!
...
Hiyo ndio issue ya kuomba ushauri?
...
We mchukue muende hosptili mukapimwe tu!!!
Akikataa kwenda hospitali, hako kameo ka mchina, katimue!
Kuwa Mwanaume bhanaa!

hv tunaweza pima mimba dna?
 
hahahahahaha ngoja nipite tayari nimenyoosha mbavu zangu asubuhi ya leo,,,,,,,,hizi pm zinalainisha watu kumbe. watu8 naona unampa somo vizuri hope at the end of the day atafuzu
 
Last edited by a moderator:
Kuna kila dalili hii thread haina ukweli wala maadili, sio sahibi kwa namna yo.yote kufanya ngono kwa kutumia mlango usio sahihi. Take care Mpwa dunia haina huruma.
Hizo ni salamu toka kwa Mpwao Elli safarini Namanyere-Nkasi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…