Jeremiah Stephin
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 129
- 166
tusifike hukowachache watakuelewa
tupo katika matrix kuchomoka ni ngumu
hakuna illusionary (udanganyifu), kila kitu ni halisi katika mtazamo wa kitu chenyewe. hakuna anaetuchezesha ila ni ufahamu wenyewe unaojichezesha. kwa macho ya kawaida inaonekana kua sisi tupo, ila kiuhalisia hatupo na hata ulimwengu wenyewe haupo ila ni ufahamu unaojionyesha katika miili tofauti na hii ni kwa sababu kitu pekee ambacho kinaweza kua, ni ufaham
Mkuu ulicho andikq hakina tofauti sana na nilicho maanisha mimi hahakuna illusionary (udanganyifu), kila kitu ni halisi katika mtazamo wa kitu chenyewe. hakuna anaetuchezesha ila ni ufahamu wenyewe unaojichezesha. kwa macho ya kawaida inaonekana kua sisi tupo, ila kiuhalisia hatupo na hata ulimwengu wenyewe haupo ila ni ufahamu unaojionyesha katika miili tofauti na hii ni kwa sababu kitu pekee ambacho kinaweza kua, ni ufahamu tu
Hapo umefikiria kweli kweli nduguVipi kama kuna kiumbe kinatufuga kwenye banda kubwa ( dunia) halafu mwisho wanatula mmoja mmoja kwa njia ya kifo , bila sisi kushtuka?
Fact sanaHaya tunayoita "mafanikio" ni pale mtu anapokuwa na vitu dhidi ya wengine ,hapo anajiona amefanikiwa..Mtu akifaulu sana kuzidi wengine kwenye mtihani basi anaitwa amefanikiwa ,akiwa na pesa kuliko wengine vivyo hivyo...Ikitikea mashindani ,mtu akishinda anjiona ana mafanikio.
Kiufupi ,hakuna uhalisia mafanikio yanategemea na wengine kuanguka au kuwa chini yetu...Ebu tujiulize ,mawazo ya mgonjwa aliyekuwa mahututi ni yapi ? Anafikiria zaidi mafanikio ya duniani kama yale anayofuatilia kila siku au anafikiria zaidi kuhusu hatma ya afya yake?
Kuna muda ,utaona mambo ya duniani hayana uhalisia ila tulipanga sisi tuishi vipi.