Dume zima na hirizi kiunoni

Huyo atakuwa Mkongo tu.
 
Ukiona mwanume analipete lina kitani cha blue, sijui njano etc, ujue kuna jini limefungwa apo.
 
Umesema kweli baby,hiyo initwa chachandu au kachumbari juu ya pilau,tatizo linakuja mazivu yakiwa marefu,maana hujisokota na hizo chachandu halafu maumivu yake balaaaa.
Umenifanya nikasisimka aisee.. Hiyo sawa yake ni kukaa majani kila siku
 
Hata ww uko cheap sana maana jamaa hajatumia jasho kukupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…