Dume hili lanichefua jamani

Golden Girl umemfuma four times ukasamehe?? kweli wewe ni golden girl unastahili pongezi. But lemme break it down for you like this; huyo jamaa anakujua wapi zipo weak spot yako and he is pushing the buttons makusudi kwa sababu wewe huna la kusema kwake and he knows it. Alishateka akili yako muda mrefu. Nakushauri kama umedhamiria inabidi usimame kidete na kuchukua hatua kali dhidi yake. Kwa kuanzia kata mawasiliano, if he is still stalking u mshitaki police na TCRA. Usimbembeleze halafu akipigia simu unapokea, hataacha. His ego tells him that you are his and that's that.
 
Heh yaani umeandika "ANA TABIA ZA UASHERATI KIASI CHA KUZINI NA WANAUME WENZAKE"
 
Reactions: Paw
kama anatigorize hadi wanaume wenzake we ulisalmka kweli?
 
Unamuendekeza sana...

I hate women who complain abt their men disturbing them wakati wao wanawaruhusu kuwasumbua! #sielewi


Na akitoka hapa ataenda kumuambia hata JF wamesema wewe hufai!!!!!! Nyambaaaaaf kabisa

Aolewe naye tu
 
Wewe utakuwa unaumwa kidogo.

 
Nina wasi wasi na post zako golden girl, hivi mama yake na hili dume linalokusumbua ndiye yule yule anayekusumbua kukuomba nguo na kila kitu chako kama ulivyoongea kwenye ule uzi mwingine? nahisi hivi vitu untunga ili kuumiza watu vichwa hapa!!

Kumbe...........

nashukuru mungu sijatoa neno langu hapa dah....................
 
Duh!unamoyo wa Nyau maana wengine hata ikifumwa simu kinanuka!!
 
kama tabia ulizoandika ni za kweli mbona haiihitaji hata ushauri hio? Yaani hapo hakuna cha kujadili, achana nae
 
ha ha aha hapana muuza ubuyu, its a true stori na huyo ni mwingine
 
a u serious?
Ww hujaamua tu,ukiamua hawezi kukusumbua!
 
Uyo boyfriend wko apana jamani yani mara 4 zote afu unamsamehe ama kweli good hearted people are the most hurted people.....uyo hafai ata kusamehewa tena ni muumini wa kabaaang JEHOVA!
 

Huyo ni hatari mpaka anazini na wanaume wenzake..
 
huyo kaa naye mbali halafu epuka kumjibu sms zake na pia ukibadilisha number ya simu huitoi hovyo...
huyo ni shetani for sure...yaani hadi nimeishiwa cha kusema kuhusu hilo jamaa lako! pili kwenye hao wapenzi wako uliyogombana nao hukubahatika kumpate mbabe wake? ikishindikana nitafute mm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…