Dume condom,

Dume condom,

Habari wakuu,

Wakuu naombeni kama nitawakwanza maana upande wa pili huwa hawapendi kutumia kinga ila siyo wanawake ila upande wa pili,

Ni siku mbili toka nitumie hii kinga maana shemeji yenu alikuwa kwenye hatari ( najua wakubwa mnajua)

Sasa toka nitumie hii kinga yaani nawashwa dudu balaaa,fangasi sina.

Ila tatizo ni kuwashwa tu alafu najikuna balaa, nimejaribu kuangalia expire date ni February

Au ni gono tayari maana najua kuna magonjwa ya gono hata ukivaa kinga huwezi kulikwepa,alafu ni mwanamke ambaye nina matarajio naye,

Sasa nimepanga kufanya vitu vitatu,

1.naenda kucheki gono au kufanya culture nikipatikana na tatizo huyu mchumba kwa heei

2.Kama ni fangasi nitatibu

3.kama hamna tatizo naenda kuwashtaki hii kampuni.

Wakuu poleni kama nitawakwaza ila pia wapo kama mimi labda wanatumia dume condom,vipi na nyie hii hali inawapata?

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Pole Mdogo wangu, Condom inatengenezwa na Material aina ya Latex Rubber.. sasa kuna watu ngozi zao ni very reactive to latex,Husababisha LATEX CONDOM ALLERGY, Dalili zake ni kama kuwashwa, Macho kuwasha,chafya.. sio chronic sana, baada ya siku chache itakwisha!

Pole!

#DarasaHuru!

Sky Eclat Da'Vinci financial services katoto kazuri
 
Mkuu skyn na durex ni non latex rubber condoms
 
Jamani naona aibu mnavyosema majina ya ndani kama hayo.
Halafu dume kinga sio nzuri kwanini mtu ameajiriwa mtu usinunue kondom za kisasa nzuri nasio bei 7000 kwa afya yako sio mbaya 5000 ×2 = 10 so acheni kujitesa mtakatwagwa madushe kisa ubahili .
Yaani badala ya kutushauli tuwache wewe unatuhamisisha tupande dau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom