Habari wakuu,
Wakuu naombeni kama nitawakwanza maana upande wa pili huwa hawapendi kutumia kinga ila siyo wanawake ila upande wa pili,
Ni siku mbili toka nitumie hii kinga maana shemeji yenu alikuwa kwenye hatari ( najua wakubwa mnajua)
Sasa toka nitumie hii kinga yaani nawashwa dudu balaaa,fangasi sina.
Ila tatizo ni kuwashwa tu alafu najikuna balaa, nimejaribu kuangalia expire date ni February
Au ni gono tayari maana najua kuna magonjwa ya gono hata ukivaa kinga huwezi kulikwepa,alafu ni mwanamke ambaye nina matarajio naye,
Sasa nimepanga kufanya vitu vitatu,
1.naenda kucheki gono au kufanya culture nikipatikana na tatizo huyu mchumba kwa heei
2.Kama ni fangasi nitatibu
3.kama hamna tatizo naenda kuwashtaki hii kampuni.
Wakuu poleni kama nitawakwaza ila pia wapo kama mimi labda wanatumia dume condom,vipi na nyie hii hali inawapata?
Sent from my TECNO F3 using
JamiiForums mobile app