Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,501
Kweli watu ni vichaa, yaani mtu anapigwa ngumi hadi meno yanany'oka lakini bado anaambiwa ni mchezo na anwkubali!
Jina sio tatizo,utapeli wake tu ndiyo shida,siku hiyo kuna bondia kachomoa kuingia ulingoni,amekataa kupigana bila ya mkataba.jina lina tatizo gan?