Dukuduku kwa wakaka na wadada!!

muneera75

Senior Member
Oct 12, 2019
190
318
Naomba nishauri na pia nitoe dukuduku

Wanaume/ wakaka wa chuo wambea sana em punguzeni umbea yani utakuta wanaume wamekaa kama watatu au wanne wanamsema mdada adi unanona aibu kama vile umesemwa ww yani..utakuta wanamsema kuanzia nguo zake ohh kavaa miguo mirefu huyu nae..akivaa kiguo kifupi eh huyu nae miguu mibaya eh ..punguzeni umbea mliopo chuo na mnaoenda chuo

Kingine kwa wadada punguzeni mikumbo unatoka kwenu umevaa ushungi kufika kule unavaa kaptula unaenda club na ww unapanga chumba upo na shoga ako mara shoga ako anaingiza mabwana na ww unaiga..jaribu kufikiria kwamba ukipata sap utabaki ww na sio na bwana ako

Ushauri ndo huo. Endelea kushusha ushauri hapo chini kwa wanachuo au mtu anaenda asaiv.
 
Anzisheni forum za chuo kwa kila chuo ili muambiane kisawasawa! Ikibidi mtajane na majina humohumo..😂 humu sidhani Kama Kuna wanachuo hata 200.
 
Sisi wa Mumbai university haya hayatuhusu.
Wakiendelea wavalisheni madela kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom