Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
kwani ugali na wali ni kipi chenye ingredients nyingi mkuu
Namaanisha utofauti kwenye idadi na aina zake. Wali unazo nyingi kuliko ugali, na kuna zinazofanana na zinazotofautiana. Wali=mchele+maji+chumvi+mafuta ya kupikia wakati ugali=unga+maji sasa angalia equation ipi au model ipi ina mambo mengi, na utofauti wa mambo hayo. shared factor iliyopo ni maji tu na hata hivyo wali unataka maji mengi kuliko ugali kwa maana ya maji ya kuoshea na maji ya kupikia! Bado hapo muda wa kupika na kiasi cha energy ingawaje inategemea unatumia jiko la aina gani na energy ya aina gani.
Pia kiasi cha ugali na wali ni sawa kwa kipimo cha mtu mzima mmoja.
Na hapa naongelea maandalizi tayari.
Nafikiri nimejibu swali.