miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Bora ugali nao upande hadhi
Usimlamikie magufuli hiyo kwako fursa kopa million tano nunua unga weka ndani mwez wa NNE utauza kiroba 40000
Duuh kweli nchi hii ina vlaza sana!Hebu nenda kwa mama ntilie kaulize kilo 1 ya unga na kilo 1 ya mchele ipi anatoa sahani nyingi kwa kuwapimia wateja msosi!Ungejiuliza haya mapema usingekurupuka kutoa argument ya kipuuziDah...wewe ndiyo una argument ya kipumbavu kabisa.....kama unga wa mahindi umepanda bei lakini bei ya ugali ipo palepale...huoni kama kuna jambo la kufikirisha....bora wewe ndiyo ungepita kimyakimya[emoji13] [emoji13]
Uliza kama una mtu yupo huku. Khali ni tete na misululu ni mirefu Bank lakini shughuli zinaenda kama kawaidaAcha izo ww hakuna nchi yenye maandamano na midahalo mikali kila kukicha kma hio
Kushuka being ya unga sasa HIV in ndoto mpaka wakat wa mavuno ambayo nikuanzia mwez wa tano huko. Kusema mchele utashuka ni ndoto za alinacha zaid utapanda sana hasa kuanzia christmas na hautashuka mpaka baada ya mavuno. Kuhus importation hakuna importation ya kuweza kucover maana nchi zote za ukanda huu ziko vibaya. UsiigopeBila utafiti inaweza kula kwako kwani matokeo ni aidha faida, bila bila (kurudisha pesa), au hasara. Nasema hivi kwa sababu mambo yanaweza kubadili ndani ya mwezi wa tatu yaani bei ya unga kushuka.
watanzania vumilieni bado kitambo tutavuka ng'amboHili swala la unga hata mm huwa najiuliza kuna nini? Toka uanze mwaka huu bei ilikuwa 1200 na haijawahi kushuka zaidi ya kupanda
Dah...Wewe ndiyo kiazi kwelikweli...Hapa hoja ilikuwa ni bei ya unga kupanda wakati bei ya ugali iko palepale...sasa wewe ndiyo umeleta hoja mpya kabisa...hoja ya mapishi..😀😀😀😀😀Duuh kweli nchi hii ina vlaza sana!Hebu nenda kwa mama ntilie kaulize kilo 1 ya unga na kilo 1 ya mchele ipi anatoa sahani nyingi kwa kuwapimia wateja msosi!Ungejiuliza haya mapema usingekurupuka kutoa argument ya kipuuzi
Soma content ya habari ya mleta hoja!Au umekurupuka,hoja ni kuwa haijawahi mchele na unga kuwa bei moja sokoni.sasa bei ya unga imepanda imefikia mpaka ya mchele!Dah...Wewe ndiyo kiazi kwelikweli...Hapa hoja ilikuwa ni bei ya unga kupanda wakati bei ya ugali iko palepale...sasa wewe ndiyo umeleta hoja mpya kabisa...hoja ya mapishi..😀😀😀😀😀
Soma content ya habari ya mleta hoja!Au umekurupuka,hoja ni kuwa haijawahi mchele na unga kuwa bei moja sokoni.sasa bei ya unga imepanda imefikia mpaka ya mchele!
Hizo ela naomba msaada au ni zangu mwenyewe niliziweka.??Watanzania bwana kwa kulalamika hatujambo. Nashangaa hapa ninapoishi India kuna tatizo la pesa hata benki unapiga foleni Na mwisho unaambiwa zimeisha. ATM hakuna kitu ila sioni manung'uniko. Ingekuwa Bongo nadhani JPM ashakimbia nchi. Wenzetu wanaendelea na kazi zao. Tujenge tabia ya kuvumilia.
Ndugu yangu khali ni tete. Ni fedha zako kama ulizoweka CRDB. Ukiona misululu ya watu utawahurumia maana fedha hazizunguki India. Hata ukija huku na dollar ndo usiseme. Katika baadhi ya maduka na mahotelini kuna kibao kuwa hawachenji noti za 2,000 imagine. Ila kinachokubalika ni kadi ya benkiHizo ela naomba msaada au ni zangu mwenyewe niliziweka.??
Dah..sasa wingi wa sahani za ugali au wali unatokea wapi??😀😀😀😀Soma content ya habari ya mleta hoja!Au umekurupuka,hoja ni kuwa haijawahi mchele na unga kuwa bei moja sokoni.sasa bei ya unga imepanda imefikia mpaka ya mchele!
Wapi huko mchele 1500Sasa hali tete haijawai kutokea kilo moja ya mchele kulingana na ile ya unga wa mahindi,hakika tutaisoma namba haswa maana mpaka sasa serikali haijatuambia sababu ya unga kupanda bei na kuwa sawa na bei ya mchele ambayo ni 1500/=