Dukani bei ya kilo moja ya mchele ni sawa na ya unga dukani

Dukani bei ya kilo moja ya mchele ni sawa na ya unga dukani

Sasa km bei ya mchele ni sawa na unga, siwezi kula tena ugali.Wali sasa haitakuwa tena mpaka xmas
 
Acha na wakulima tufaidi ndugu mwaka huu mahindi yamecheza kwenye 10,000 hadi 15,000 kwa sasa na hio ni bei ya mikoani kwa debe moja. Nyie mnapenda tulime kwa gharama halafu tuuze 7000 kwa debe moja? Hapana, acha nasi tufanye ya maana na hio ndio sababu kubwa kwa nyie wanunua sembe kuuziwa bei juu.
Hii awamu watakaofaidi sana
*wakulima
*wamachinga
*mama ntilie
*wajasiriamali
*na wafanyabiashara wadogo
Hawa watu[emoji115] wataishi kama malaika
 
Watanzania bwana kwa kulalamika hatujambo. Nashangaa hapa ninapoishi India kuna tatizo la pesa hata benki unapiga foleni Na mwisho unaambiwa zimeisha. ATM hakuna kitu ila sioni manung'uniko. Ingekuwa Bongo nadhani JPM ashakimbia nchi. Wenzetu wanaendelea na kazi zao. Tujenge tabia ya kuvumilia.
tike mere dost.
 
Yanaposhuka tuwe tunaleta na thread za kuhoji pia?
 
Back
Top Bottom