Kwa siku ulikuwa unafunga hesabu na kiasi gan cha mauzo
Hapo no 50kKwa siku ulikuwa unafunga hesabu na kiasi gan cha mauzo
Km atajibu hili swali atakuwa ametoa mwanga mzuri wa hili duka!
Naona kama hajiamini amini, kikubwa ninachokiona hpo ni kwamba hakuna mzunguko mzr wa wateja na ndio maana anatumia mda mwingi kulala dukani, pia ukiangalia hvyo vitu kuna ambavyo vipo kama vilivyonunuliwa yaan hakiuzwa ata kimoja. So kwa atakaenunua ni vyema akafanya research ya kutosha ikiwezekana ata kushinda maeneo yale ata kwa siku kadhaa kuusoma mchezo kimya kimya bila jamaa kujua.Hapo no 50k
Anauzwa huyo nae.Huyo aliyelala dukani anaumwa nyonga?
Sababu zilizo njee ya uwezo wako ndo zip!? Jusije tukanunua ikala kwetuuDuka liko mbagala kibonde maji mbele kidogo ya zakhem, ni sehemu nzuri kwa biashara hususani mahitaji ya nyumbani ila naliuza kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu..friji na frizer vyote vinapiga kazi vizuri kabsa.
Kodi ni 50000 kwa mwezi, kodi inaisha mwezi ujao.
Mimi nauza vyote vilivyomo kwa bei ya 1300000 tu. Karibu pm kwa anayehitaji.
NB: Nauza vyote kwa pamoja siuzi kimoja kimoja.View attachment 1130129
View attachment 1130130View attachment 1130131View attachment 1130132View attachment 1130133View attachment 1130134View attachment 1130136View attachment 1130137View attachment 1130138