Duka la nyama...

Hii ni kweli kabisa na wala siipingi mkuu,kwa jinsi hawa wenzetu wanavyoendeleza huu ukorofi wao na vuruguvurgu,huko ndiko tunakoelekea maanake sasa hali imekuwa mbaya kuliko maelezo!!!!!!!!hapo umeiona hiyo moja lakini itafikia mahali zitakuwa nyingi tu!!!!!!
 
Naona sasa tulete machine za kuchinja
 
Yote haya yameumbwa na maneno ya Mkuu wa Mkoa Mwanza na hotuba ya Mh. Stephen M. Wassira. Ajabu mpaka sasa
pamoja na maafa ya Buseresere, hawa viongozi hawajawajibika. Mkuu wa nchi amebaki kujisemea, 'Mauaji ya Buseresere ni fedheha' basi hasemi jingine.
 
Sasa huyu amechagua wanunuzi, hii ni biashara au?
 
duh tunakoelekea hata kuoana itakuwa shida, udini alioupinga baba wa taifa unarudi upyaa kwa kasi ya ajabu. Natamani nisiwepo katika hii dunia utakapopamba moto.
 
"We can choose our actions but we can not choose the consequences of our actions".Hizi ni indicator za yatakayojiri baadaye.Sipendi kuchangia sana nitachangia ikiwepo butcher ya nyama iliyochinjwa na "wapagani".Swali la kizushi wakristu na waislam mtajisikiaje mkigundua Tanzania wapani ni wengi kuliko mnavyofikiria?Baadhi ya watu siku hizi hawawezi kufuata Mungu anayotaka wayafanye kwani yanawanyima uhuru na mengine ni magumu badala yake wamekuwa washabiki wa dini sijui watatoka siku ya kihama/hukumu."Whenever there are more than one person there will be differences" any society will be in trouble once members start looking on their differences instead of what they share in common.Why do you think Tanzania should be an exception while this is a universal law?Do not say I did not warn you.
 
Jana jioni katika kipindi cha Usiku wa Habari TBC1, nilimsikia Shehe akitamka wazi kabisa kuwa wanaoruhusiwa na Koran kuchinga na nyama ikaliwa na Waisilaam ni Waisilaam wenyewe, Wayahudi na Wakristo, na Wabohora. Mbona sasa wanafanya ndivyo sivyo?
 
Can Muslim Eat Meat Slaughtered by Jews and Christians?

Question:


1. Can Muslims eat Kosher meat and meat slaughtered by Christians who are practicing?
2. Do people of the book exist today?
3. How can we distinguish between Christians who claim that they are following Christianity and still drink alcohol and those who don’t?


Answer:


1. It is permissible for Muslims to eat the meat slaughtered by the People of Book, namely Christians and Jews, provided that certain conditions are met. Among these conditions are:


a. That the name of God be consciously uttered when the slaughter takes place.
b. That the animal be slaughtered at its throat.
c. That at least three of the four main veins of the throat be cut with a sharp object, such as a knife.

[Ibn `Abidin, Radd al-Muhtar; Abu Bakr al-Razi, Tuhfat al-Muluk]

In general, Muslim scholars state that kosher meat fulfills the above conditions. As such, it would be permissible to eat such meat provided that it is validated as being kosher. In the United States, for example, packaged kosher meat comes with specific symbols to indicate its kosher nature, while other places, such as Jewish delis, may display a certificate validating the kosher nature of their meat by the testimony of a qualified Rabbi.

As for “Christian” meat, then there are a few considerations.
Firstly, what we find in supermarkets in countries whose population is overwhelmingly Christian cannot be deemed as permissible to consume. This is because it is extremely rare to find that such meat has been slaughtered based on the considerations mentioned above.

Secondly, if what you are speaking about are individual Christians slaughtering meat on a small, personal scale for example, then the first step would be ascertaining that they actually fit the definition of being People of the Book, namely a Christian or Jew who firmly believe in God, a truly revealed book, and an actual messenger like our liege-lord Jesus (Allah bless him and grant him peace). After this, if it is demonstrated that the way they slaughter their meat fits the previously mentioned conditions, it would be valid to consume such meat. Otherwise, it will not be permissible.

2. Yes, the People of the Book exist in our times.

3. A person who claims to be part of the Jewish or Christian faith will be considered from the People of the Book if he or she believes firmly in God, a revealed book, and an actual messenger. As such, any Christian who firmly believes in God, the gospel, and Jesus (Allah bless him) will be considered from the People of the Book regardless of their practice. [Ibn `Abidin, Radd al-Muhtar]
 

Kinachogomba ni kuwa pale mmoja anapoona kuwa hataki kunyamazia hali ya kila siku hasa haki yake inaponyimwa.
Kila upande una haki ya kuruhusu upande mwengine ujieleze sio uelezewe. Hili la Bucha ni suluhisho lakini suluhisho liwe kwa kila jambo ambalo upannde mwengine hauridhiki. Hili la kusema kuwa tukubaliane tu tuliache!
 
hili ndilo suluhisho pekee mashine haisomi kibla wala haielekei upande wowote nini wakla baba yetu kata shingo tu

Kwani ngombe akichinjwa kaelekea Kibla ana dhara yoyote kwa mlaji?
 
Jana jioni katika kipindi cha Usiku wa Habari TBC1, nilimsikia Shehe akitamka wazi kabisa kuwa wanaoruhusiwa na Koran kuchinga na nyama ikaliwa na Waisilaam ni Waisilaam wenyewe, Wayahudi na Wakristo, na Wabohora. Mbona sasa wanafanya ndivyo sivyo?

Suwala ni kuwa hao watu watakuwa tayari kuchinja kwa jina la Mungu(Allah) wakati hawaamini kuwepo kwa huyo Allah?
 
samahani naomba kuuliza hivi nchi za america huwa wanafanyaje kuhusu kuchinja?
 
Kwani ngombe akichinjwa kaelekea Kibla ana dhara yoyote kwa mlaji?
mimi sijui wanajua wanaong'angania kuchinja mi nakula nyama tu hivi jan hawajasikia polandi wamelisha watu punda na ngamia hahahah kwani ukienda huko nje ya nchi nyama unazokula unajua zinachinjwa na nani ,huko malawi ,kongo ,kenya hata mikoa mingine arush akilimanjaro hahahah watu wengine ni ushabiki tu resoning ni zero.ercent kubwa ya wanaoishi uingereza wamekula nguruiwe bila kujua unaamini hilo?
 

Umesahau nasaha za wahenga "Mwamba ngozi huvutia kwake". Mzee wa nyumba anaona saaaaaaaaaaaaafi, ungetaka kujua hasira zake wangeanza hao wenye bucha.
 
Nimependa uwazi wake.....atleast I wont spend my time kuuliza uhalali wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…