jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Natafuta duka kubwa la madawa ya binadam ambalo linauza bidhaa(madawa kutoka nje)...kwa hapa bongo..iwe dar es salaam,MORO au DODOMA..Kwa sababu kuna dawa huwa cpat ktk aya maduka yetu ya kawaida mfano AMAZON products