Mkuu ipo k/koo, ukifika pale makutano ya Uhuru na Living stone. Ukifika pale muulize mtu yoyote kwa Bakhresa, Duka la El shadai linaangaliana na Nyumba ya Bakhresa. Ukifika hapo huwezi potea kwani wana bango kubwa Mlangoni. kama mwenyeji nenda Makutano ya mitaa ya Michikichi na Livingstone ndo hapo hapo. miaHabari wana jf. Kama kuna mtu anajua lile duka kubwa la El shadaai linalouza mapazia na mambo mengi ya decorations za ndani ya nyumba liko mtaa gani Kariakoo hapa jijini Dar. Nitashukuru
Mkuu ipo k/koo, ukifika pale makutano ya Uhuru na Living stone. Ukifika pale muulize mtu yoyote kwa Bakhresa, Duka la El shadai linaangaliana na Nyumba ya Bakhresa. Ukifika hapo huwezi potea kwani wana bango kubwa Mlangoni. kama mwenyeji nenda Makutano ya mitaa ya Michikichi na Livingstone ndo hapo hapo. mia
Hakuna tofauti ya Al na El,ni matamshi tu,kama THE wapo wanaoitamka THA,wengine huandika kimatamshi kuliko kama asili ya maandishi yalivyo.Tumia macho kuonea na makalio kukalia. usivigeuze geuze. Mwenzio kaandika EL SHADAAI wewe unaleta AL SHEITWAAN. tofautish EL na AL
Habari wana jf. Kama kuna mtu anajua lile duka kubwa la El shadaai linalouza mapazia na mambo mengi ya decorations za ndani ya nyumba liko mtaa gani Kariakoo hapa jijini Dar. Nitashukuru