Duka la dawa kwa bei za jumla dsm.

Duka la dawa kwa bei za jumla dsm.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,464
Wakuu kwa anaejua duka la dawa la jumla dar es salaam la uhakika na lenye bei affordable kwa sisi wenye mtaji mdogo anifahamishe....shukrani kwenu.
 
yapo mengi sana upo wapi na unahitaji mzigo wa bei gani?
 
Kuna jamaa ana duka la jumla kkoo. Na ukinunua mzigo wa milioni moja na kuendelea anakuletea bure hadi dukani. Advantage nyingine ni kuwa mkishazoeana anaweza kukupa bidhaa za ziada kwa mkopo bila riba.

Kama itakufaa nitumie pm nikupe namba yake.
 
Nipe contact zake mkuu.
 
mzee tafadhali nielekeze hilo duka la kariakoo la dawa za binadamu kwa bei ya jumla.
 
Kuna jamaa ana duka la jumla kkoo. Na ukinunua mzigo wa milioni moja na kuendelea anakuletea bure hadi dukani. Advantage nyingine ni kuwa mkishazoeana anaweza kukupa bidhaa za ziada kwa mkopo bila riba.

Kama itakufaa nitumie pm nikupe namba yake.
naomba uniunganishe na huyu mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom