Duka la bastola na bunduki Upanga

kumiliki silaha kuna ubaya gani. Mbona ni jambo la kawaida kabisa! Mradi iwe umepata kibali maalumu na unatumia silaha uliyoisajili kwa matumizi sahihi.
 
si vibaya kumiliki silaa lakn tunaona mfano mbaya wa matumizi ya silaa ilivyotokea igunga hivyo naungana na mjumbe kuwa masharit magumu lazima yatolewe itasaidia kupunguza vurugu zilizotokea igunga kwn kuna mbunge mmoja wa chama cha Mapinduz alionekana na bastola hadharani ktk kipindi cha kampeni
 
Ndugu wana jamii katika uchunguzi wangu nimeweza kupata data zinazoonyesha takwimu za wabunge wanao miliki bastora hapa tanzania. Takwimu za duka kuu la kuuza bastora na zana za uwindaji lipo chini ya jeshi la wananchi tanzania zimeonyesha wabunge 72% wa ccm wanamiliki bastora. Wengi wao wamewasilisha vipimo vya uwongo vya hospitali,nimeshindwa kupata majina yao kwasababu za kiusalama. Naishauri serikali ipitie upya uhakiki wa taarifa za wamiliki wa silaa na kuongeza masharti magumu kwa watu wanaotaka silaa. Pili nawashauri wabunge wa chama cha mapinduzi punguzeni uwoga kwasababu tanzania ni nchi yenye amani.

DUMB Words from a dumb person...............
 
Back
Top Bottom