strategist
Member
- Oct 27, 2014
- 42
- 29
Mara nyingi nimekua nikiagiza electronics components kupitia online platform kama alibaba, tatizo vifaa vinachukua mda mrefu kunifikia na kuchelewesha project zangu. Swali langu ni, ni je hapa dar kuna duka linalouza hizi adruino na components nyingine za electronics ukiachana na yale maduka ya kariakoo roundabout.