Ako Kwaang
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 324
- 259
Sku hizi hayo ya sana "kizazi kipya" Mbona yamenitokea BigBoy aliniomba laki5 eti kumpa laki3 akasepa hajibu cm carefree.. nami kawaida so what...! wapo kimasilahi
Hakupendi huyo anapenda noti! Jaribu kumtolea nje siku nyingine akiomba noti uone atakavyo lala mbele!