Duh..wanawake hawa pasua kichwa....ebu chech hili

Duh..wanawake hawa pasua kichwa....ebu chech hili

Unaweza kugundua true love kwa miezi miwili it depend the way unavyo m treat

Unapotumia pronoun 'it' kwenye verb lazima umalizie na herufi 's'. Mfano tunasema. It depends, It seems, It belongs, It drives......sawa?
 
dah hakuna ahadi ya pesa aise....

Ahadi nyingi ambazo hamna pesa zinakuwaje???? Nitajie tatu tu tofauti na wimbo wenu wa sitakusaliti ht siku moja.....wakati kiongozi wenu humu Jf kalambwa mitama kisa mke wa soja....
 
Sijaelewa hilo neno la mwisho master eagle
 
Wanaume wa sikuhizi majanga tu, hivi ukiombwa hela we unajua ni kuchunwa tu, mwingine huwa anakutest kama je akiwa na shida ndogo utaweza kumsaidia? Sasa wewe imeonekana kabisaa uwezo wa kumsaidia huna ndio maana ame hepa, 'mke ni nguo, mgomba kuu palilia' au unataka uone viking'ara tu eeh! Utaishia kuita shemeji shauri yako.
 
Acheni masikhara, sio kwa wote 20000 ni hela ya karanga, Sie wengine ni nusu ya mshahara.

katafute mademu wa kuwapa buku ndo size yako

unajua dunia hii kila mtu ana size yake, tatizo watu kungangania size zisizo zao
 
Unapotumia pronoun 'it' kwenye verb lazima umalizie na herufi 's'. Mfano tunasema. It depends, It seems, It belongs, It drives......sawa?

Si kweli comred,inategemeana na wakati tukio lilipotokea,mfano;It depended
 
alafu mademu wa cku izi hawana haya mmejuana hata mwezi hamjamaliza cost za maisha yake yote anataka uzi kave kama vile yeye maisha yake yote yanaendeshwa na pesa za wanaume kinachokera zaidi kuna wengine hata hamjaonana mmekutana kwenye mtandao tu anaanza kuomba ela mara vocha mara kusuka aaaaagh tabu tupu si usubiri tujuane kwanza!!!
 
kitu cha kawaida sana c umpe hiyo 20000/ =,,,, tatizo lenu mkiombwa hela eti mnachunwa???! mahitaji yake ampe nani???! afu ukijua ana bwana mwingine fasta kuleta uzi wakati matumizi hutoi khaaaaa!!!!!



Mie hapo ndipo ninawashangaaga hawa viumbe wa Mungu, Mungu amewapa nafasi kubw alkn hawaitumii ipasavyo, hawasimani kwa nafac zao, Mungu awasaidie sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom