Duh! Walimu wanakazi! Hebu icheki híi>

Duh! Walimu wanakazi! Hebu icheki híi>

Youngdsm

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Dogo:kitendawili?
Wanafunzi:tegaaa!
Dogo:nivue nguo nikupe utamu
mwalimu: wewe mtoto hebu wacha kutukana, nitakuchapa?...
Dogo:kumbe mwalimu ww pia kilaza? Jibu lake ni NDIZI!.
 
tehe tehe, ndo raha ya kitendawili, jibu la kweli analo alokitega tu
 
Kweliii hayo ni mativi ya tbc ndio yanachangia kuharibu.wewe tv kuanzia asubuhi ni miziki tu na habari za kuchakachua picha za kuunga unga unadhan watoto wata kopy yapi? Tuanzeni tu kuswali bila hivyo mengi yatatukumba
 
Duuu hii kali, sasa ticha si angesubiria jibu kwanza!
 
Kakumbatia nungunungu huyo teacher 😀😀😀
 
kumbeeee....ngoja niendelee kuruka samasoti

  • :target:
 
Back
Top Bottom