duh vitoto havijatulia

hao baadae ukikutana nao chochoro hao unawamia mwenyewe nna laki moja, simu ya tecno,na chupi ya kuchakaa chakaa.vinginevyo ukikawia utakuwa tayari unachuruzika.
 
Unaweza kuta wametuma na wazazi wao, "leo msiporudu na kuku hapa hakiliki kitu".
 
Ndo hali halisi ya maisha ya mtanzania hasa vijana ambao ni tegemezi kwa Taifa
 
aiseee baba yangu si unajuw amwezi huu lazima watafut ya idi nao lazima wapate nkisusio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…