Duh utumishi kimya kimezidi

Duh utumishi kimya kimezidi

Gambisgrey

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
18
Reaction score
7
Mambo vipi wanajf, Nimekuwa na utamaduni daily lazima nicheck matangazo ya ajira utumishi. Mategemeo yangu nitakuta update zozote cha kushangaza hata tangazo la watu kuitwa job la May bado lipo wakati tupo mwezi june unaoishia. Website yao ipo too static hamna update zozote. Average watu wanaochungulia web yao almost elf 5 per day cha kushangaza eti tar 11 june wametoa kazi moja tu(1). Nakaribisha hoja wadau.
 
Hahaha, hoja gani sasa mkuu. Lete pendekezo tulijadili
 
Back
Top Bottom