Kibishi JF-Expert Member Nov 17, 2013 1,139 1,030 Jun 10, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Mziki siku hizi unalipa eeeh Click to expand... Mziki unalipa, ila masongi mengine hayalipi, kama hili la kujambajamba!
Joseverest said: Mziki siku hizi unalipa eeeh Click to expand... Mziki unalipa, ila masongi mengine hayalipi, kama hili la kujambajamba!
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 Jun 10, 2017 #4 Kibishi said: Mziki unalipa, ila masongi mengine hayalipi, kama hili la kujambajamba! Click to expand... comedy tupu
Kibishi said: Mziki unalipa, ila masongi mengine hayalipi, kama hili la kujambajamba! Click to expand... comedy tupu
Kibishi JF-Expert Member Nov 17, 2013 1,139 1,030 Jun 10, 2017 Thread starter #5 Joseverest said: comedy tupu Click to expand... Kama comedy, basi jamaa kapitiliza
Kibishi JF-Expert Member Nov 17, 2013 1,139 1,030 Jun 10, 2017 Thread starter #7 Vsanja said: Too much......... Click to expand... Jamaa katia fora, hamna msanii aliyetoa songi sampuli hii halafu likawekwa public on youtube
Vsanja said: Too much......... Click to expand... Jamaa katia fora, hamna msanii aliyetoa songi sampuli hii halafu likawekwa public on youtube
Eng Kahigwa JF-Expert Member Feb 18, 2014 783 631 Jun 10, 2017 #10 Kibishi said: Jamaa kapitiliza Click to expand... Duh! Hatariiii
T thatsit JF-Expert Member Mar 12, 2017 1,870 2,915 Jun 10, 2017 #11 Huyu jamaa sasa anaboa, me nlikua nshaanza kumuelewa lkn sa iv aaarrghhhh
Kibishi JF-Expert Member Nov 17, 2013 1,139 1,030 Jun 10, 2017 Thread starter #12 Freyzem said: Basata watafanya yao... Click to expand... Likipigwa kwenye vituo vya redio watafanya yao mapema, kwanza hata kwenye maredio watajishtukia kuipiga. Basata wataichimbukia hukuhuku YouTube
Freyzem said: Basata watafanya yao... Click to expand... Likipigwa kwenye vituo vya redio watafanya yao mapema, kwanza hata kwenye maredio watajishtukia kuipiga. Basata wataichimbukia hukuhuku YouTube
Kibishi JF-Expert Member Nov 17, 2013 1,139 1,030 Jun 10, 2017 Thread starter #13 Tuchki said: mbna ni ujinga sio comedy Click to expand... Hiyo ni comedy mjomba, ukiisikiliza lazima ucheke, upande comedy, upande ujinga
Tuchki said: mbna ni ujinga sio comedy Click to expand... Hiyo ni comedy mjomba, ukiisikiliza lazima ucheke, upande comedy, upande ujinga
Kibishi JF-Expert Member Nov 17, 2013 1,139 1,030 Jun 10, 2017 Thread starter #15 thatsit said: Huyu jamaa sasa anaboa, me nlikua nshaanza kumuelewa lkn sa iv aaarrghhhh Click to expand... Jamaa ni mkali, wakongwe wa comedy waliolala, wataamka sasa, anaonyesha uwezo wa kuvumbua upekee ambao wasanii wakubwa hawana
thatsit said: Huyu jamaa sasa anaboa, me nlikua nshaanza kumuelewa lkn sa iv aaarrghhhh Click to expand... Jamaa ni mkali, wakongwe wa comedy waliolala, wataamka sasa, anaonyesha uwezo wa kuvumbua upekee ambao wasanii wakubwa hawana
Jaslaws JF-Expert Member May 31, 2011 6,016 5,296 Jun 10, 2017 #16 Vijana wa rumumba humu jf ndo wanaongoza kwa kujamba pumba!!
mkurya org. JF-Expert Member Sep 25, 2014 1,571 1,695 Jun 10, 2017 #17 Kwan jamani nyie hamjambi mbona mnapinga sana
mkurya org. JF-Expert Member Sep 25, 2014 1,571 1,695 Jun 10, 2017 #18 Joseverest said: comedy tupu Click to expand... Na joseverest jamba alisahau kukutaja.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 Jun 10, 2017 #19 mkurya org. said: Na joseverest jamba alisahau kukutaja. Click to expand... Hahahaha
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,999 Jun 10, 2017 #20 Huyu jamaa kuchekesha hajui..Huku kwenye mziki ndo sifuri kabisa