Duh!, songi jipya la msanii wa vichekesho Mkali Wenu

Huyu jamaa sasa anaboa, me nlikua nshaanza kumuelewa lkn sa iv aaarrghhhh
Jamaa ni mkali, wakongwe wa comedy waliolala, wataamka sasa, anaonyesha uwezo wa kuvumbua upekee ambao wasanii wakubwa hawana
 
Huyu jamaa kuchekesha hajui..Huku kwenye mziki ndo sifuri kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom