mkuu hawa wa smart phone ukisema rays hawakuelewi unasema nn
Yapi hayo mkuu...duh! nivea naona ni shida kwa watu kuyatambua. ngoja nisubiri ufafanuzi
Duh mkuu itabidi niache kuyatumia maana na mm naona chunusi znanianza..........tena nlikua natumia ayoo apo chini.... kuna mtu alinishaur ni mazur
.....
Mkuu hembu nieleweshe vipi kuhusu deodorant nayo imeandikwa Nivea Men not for haipo je zipo zilizoandikwa for?
Angalia kuna mbazo zimeandikwa for dry skin sasa kama wewe ngozi yako ni ya mafuta usipake hayo, bora utafute iliyoandikwa for all type of skin kama ngozi yako niya mafuta na hata kama sio unaweza tumia, na mimi ha tumia hayo hayo
nyeto bongo na madem wote hao:A S-eek: