Duh! NIVEA For men

hapa mimi mweupe upe kabisa, kitu yangu kiukweli ni NAZi...
 
asante fatilia mkuu..ni mhimu kuelekezana.
Ni biashara tu
Boxer, T-Better, SunLG, hONDA, YAMAHA, Mkombozi, CHADEMA,nk
Product yeyote uitakayo wakutengenezee ww wape jina tu sio lazima wawe Wachina na mali fake
 
Nina muda mrefu natumia NIVEA FOR MEN body lotion. BDF....Beiersdorf P.O.Box 78273,Nairobi. =reg.tm.of Beirsdorf AG,Germany. Na NIVEA MEN DRY IMPACT. Anti-perspirant made in Germany.
 
Mkuu hembu nieleweshe vipi kuhusu deodorant nayo imeandikwa Nivea Men not for haipo je zipo zilizoandikwa for?
 
...hivi ninawezapata w...api mafuta ya kujipaka yalikuwa yanaitwa "Mamisi, na mengine yalikuwa yaitwa Ashant"

mkuu haya mafuta yapo Bukoba.nipo Dar lakini huwa nayaagiza bk na mtoto wangu ndo nampaka siku zote.
 
hayo maNIVEA yalinitoa chunusi wakati hata kwenye kubalehe kwangu sijawahi pata chunusi.
 
hayo maNIVEA yalinitoa chunusi wakati hata kwenye kubalehe kwangu sijawahi pata chunusi.

Duh mkuu itabidi niache kuyatumia maana na mm naona chunusi znanianza..........tena nlikua natumia ayoo apo chini.... kuna mtu alinishaur ni mazur
.....
 

Attachments

  • 1411745504942.jpg
    81.2 KB · Views: 350
Tena umenikumbusha ngoja nielekee zangu Kariakoo sasa hivi nikajichukulie mafuta yangu ya Nazi, maana yaliyobaki nyumbani yanaweza isha muda wowote
 
Nina muda mrefu natumia NIVEA FOR MEN body lotion. BDF....Beiersdorf P.O.Box 78273,Nairobi. =reg.tm.of Beirsdorf AG,Germany. Na NIVEA MEN DRY IMPACT. Anti-perspirant made in Germany.

Unanulia wap mkuu hii kitu ikimalizika..samahan lakini.
 
Nivea Men nzuri niile inayotoka Spain, haipatikani kirahisi, zilizojaa madukani zinatoka Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…