Hawataenda kamwe na ikitokea wataenda basi utasikia wanawake/wasichana 3000 waliokuwa ktk mafunzo ya kijeshi wametekwa na hawajulikani walipo.MIAKA 2 Mbele ndipo utasikia wameanza kuwaachia huru baada ya kuwaoa wote na kuwaacha
Nina hakika vitani watawekwa mstari wa mbele...na kama wapiganaji pinzani ni kaliba ya hawa ninaowasoma humu lazima vita Rwanda washinde....watabaki kubung'aa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.