Mambo ya kutafuta utamu mpaka unapitiliza, kanatoa k, tig. kanavuta bangi then unga, kameshamaliza starehe zote duniani bora kajifie tu sasa kwa matatizo yake ya kipuuzi ya kujitakia..
Mil 28 ni madarasa mangapi na madawati yake (ya shule zetu za kata)? Zahanati? Barabara ya changarawe kilomita ngapi? Ni mishahara ya walimu/wauguzi/madaktari wangapi kwa mwaka? Ni makopo mangapi ya ARVs (Madabida anajua)
Apeleke upuuzi wake huko!
Nimekumbuka, kitengo cha Psychiatry Muhimbili wanatoa dawa ya kuondoa hamu ya unga (methadone) bure, aende!