Duh! Licha ya Tz kutuuzia mahindi mengi, ila uuzaji wa mazao ya kilimo nje ya nchi umeshuka 55%

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,944
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,944 2,000
Hawa majirani zetu huwa vigumu kuwaelewa, hututambia humu kwamba wanatusaidia kila wakituuzia mahindi, ilhali tunanunua kwa hela zetu, sasa imebainika sisi ndio wakombozi wao maana mauzo yao ya mazao ya ukulima yameshuka asilimia 55%, ina maana tusingenunua hayo mahindi yangeozea huko na kuzidisha hali yao kuwa ngumu.
-----------------------

Tanzania's agriculture exports fall by 55 percent year-on-year in August 2019 to just $508.8 million from $1.129 billion previously largely due to a decline in cashew nuts exports, the country's main cash crop -- central bank data
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
8,926
Points
2,000

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
8,926 2,000
Hahaha mahindi yanayouzwa Kenya yanatoka Kilimanjaro, Arusha na Manyara tu yaani yakitoka mbali sana ni Kibaigwa Dodoma, mikoa Mingine kama Rukwa, Katavi, Songwe mchele wao na mahindi ni DRC, Zambia, Burundi, Rwanda

Morogoro, Ruvuma, Mbeya wao huuza Mozambique, Malawi, Zimbabwe mpaka South Africa hasa mchele na mahindi, nenda Kilosa na Tunduma uone mafuriko ya gari za Zimbabwe zikisomba mazao kule

Hiyo mikoa mingine iliyobaki ndio hulisha nchi

Kwa hivyo msijidanganye kwamba Tanzania inawategemea ninyi kwenye kuuza nafaka zake, mnafeli sana mkiwa mnafikiri hivyo
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
19,850
Points
2,000

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
19,850 2,000
Hawa majirani zetu huwa vigumu kuwaelewa, hututambia humu kwamba wanatusaidia kila wakituuzia mahindi, ilhali tunanunua kwa hela zetu, sasa imebainika sisi ndio wakombozi wao maana mauzo yao ya mazao ya ukulima yameshuka asilimia 55%, ina maana tusingenunua hayo mahindi yangeozea huko na kuzidisha hali yao kuwa ngumu.
-----------------------

Tanzania's agriculture exports fall by 55 percent year-on-year in August 2019 to just $508.8 million from $1.129 billion previously largely due to a decline in cashew nuts exports, the country's main cash crop -- central bank data
R u trying to mean u r consumer of our cashews?
 
babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
2,700
Points
2,000

babayao255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
2,700 2,000
Hahaha mahindi yanayouzwa Kenya yanatoka Kilimanjaro, Arusha na Manyara tu yaani yakitoka mbali sana ni Kibaigwa Dodoma, mikoa Mingine kama Rukwa, Katavi, Songwe mchele wao na mahindi ni DRC, Zambia, Burundi, Rwanda

Morogoro, Ruvuma, Mbeya wao huuza Mozambique, Malawi, Zimbabwe mpaka South Africa hasa mchele na mahindi, nenda Kilosa na Tunduma uone mafuriko ya gari za Zimbabwe zikisomba mazao kule

Hiyo mikoa mingine iliyobaki ndio hulisha nchi

Kwa hivyo msijidanganye kwamba Tanzania inawategemea ninyi kwenye kuuza nafaka zake, mnafeli sana mkiwa mnafikiri hivyo
Anatumia makwapa kufikiria huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kampelewele

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2014
Messages
2,711
Points
2,000

kampelewele

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2014
2,711 2,000
Hawa majirani zetu huwa vigumu kuwaelewa, hututambia humu kwamba wanatusaidia kila wakituuzia mahindi, ilhali tunanunua kwa hela zetu, sasa imebainika sisi ndio wakombozi wao maana mauzo yao ya mazao ya ukulima yameshuka asilimia 55%, ina maana tusingenunua hayo mahindi yangeozea huko na kuzidisha hali yao kuwa ngumu.
-----------------------

Tanzania's agriculture exports fall by 55 percent year-on-year in August 2019 to just $508.8 million from $1.129 billion previously largely due to a decline in cashew nuts exports, the country's main cash crop -- central bank data
Pole sana

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
8,926
Points
2,000

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
8,926 2,000
Anatumia makwapa kufikiria huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha huyu anafikiri akifika Arusha, Dar kaimaliza Tanzania nzima wakati katika hiyo mikoa hata haipo kwenye ramani ya mikoa inayozalisha chakula kwa wingi, mikoa inayozalisha chakula kwa wingi ipo Magharibi na Nyanda za juu Kusini mwa nchi ambao hata ukiwauliza Kenya ipo wapi hawajui πŸ˜‚

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,944
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,944 2,000
Hahaha huyu anafikiri akifika Arusha, Dar kaimaliza Tanzania nzima wakati katika hiyo mikoa hata haipo kwenye ramani ya mikoa inayozalisha chakula kwa wingi, mikoa inayozalisha chakula kwa wingi ipo Magharibi na Nyanda za juu Kusini mwa nchi ambao hata ukiwauliza Kenya ipo wapi hawajui πŸ˜‚

Unatumia nguvu nyingi kujaza uzi bla bla ambazo sidhani hata kama kuna mtu anapoteza muda kuzisoma labda waimba mapambio wenzio, cha msingi takwimu zinaonyesha mapato yenu ya kilimo kwenda nje yameshuka 55% ukizingatia sisi ndio tumenunua sana kutoka kwenu, hivyo tungefuata mahindi kwengine kama vile Zambia, mngesota na kukauka balaa, sisi huwakomboa sana hata mkijipiga kifua.

Bila ya sisi mtaendelea kuogelea kwenye lindi la umaskini.
 
babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
2,700
Points
2,000

babayao255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
2,700 2,000
Hahaha huyu anafikiri akifika Arusha, Dar kaimaliza Tanzania nzima wakati katika hiyo mikoa hata haipo kwenye ramani ya mikoa inayozalisha chakula kwa wingi, mikoa inayozalisha chakula kwa wingi ipo Magharibi na Nyanda za juu Kusini mwa nchi ambao hata ukiwauliza Kenya ipo wapi hawajui πŸ˜‚

Achana nae mjinga mmoja huyo
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
8,926
Points
2,000

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
8,926 2,000
Unatumia nguvu nyingi kujaza uzi bla bla ambazo sidhani hata kama kuna mtu anapoteza muda kuzisoma labda waimba mapambio wenzio, cha msingi takwimu zinaonyesha mapato yenu ya kilimo kwenda nje yameshuka 55% ukizingatia sisi ndio tumenunua sana kutoka kwenu, hivyo tungefuata mahindi kwengine kama vile Zambia, mngesota na kukauka balaa, sisi huwakomboa sana hata mkijipiga kifua.

Bila ya sisi mtaendelea kuogelea kwenye lindi la umaskini.
Hahaha hujielewi, surplus Tanzania inayozalisha you don't have enough money to afford even a quarter.
 
Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
214
Points
500

Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2019
214 500

Hata kama isingeuza nje hata kilo 1 bado kungekua hakuna madhara yeyote unadhani kama Kenya isingenunua kungekua na hali ngumu sababu eti TZ ijauza mahindi nje hata kidogo!. Tatizo watu wanashindwa kuelewa kila nchi na Sera zake kuhusu mauzo nje ya nchi na pia Sera za TZ inazuia kuuza mazao ya chakula nje ndio maana nasema hata tusingeuza hata ile kilo bc kusingekua na madhara maana ndio Sera yetu
 
Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
214
Points
500

Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2019
214 500
Uchumi wa TZ hautegemei mauzo ya chakula nje ya nchi sasa mukidai tusingewauzia Kenya tungelia na kusaga meno ni sawa na kupiga kerere tu zisizo na maana wakenya walipaswa kuchunguza kwanza je TZ uchumi wake unategemea mauzo ya chakula nje ya nchi ? ,harafu ndio wangeleta huu uzi
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,944
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,944 2,000
Hahaha hujielewi, surplus Tanzania inayozalisha you don't have enough money to afford even a quarter.
Wewe ndiye huelewi taarifa, tatizo vijana wa Lumumba hampewi elimu ya basics in business, ukiambiwa mapato yameshuka asilimia 55% inaonekana kama elimu ya roketi kwako.
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,944
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,944 2,000
Hata kama isingeuza nje hata kilo 1 bado kungekua hakuna madhara yeyote unadhani kama Kenya isingenunua kungekua na hali ngumu sababu eti TZ ijauza mahindi nje hata kidogo!. Tatizo watu wanashindwa kuelewa kila nchi na Sera zake kuhusu mauzo nje ya nchi na pia Sera za TZ inazuia kuuza mazao ya chakula nje ndio maana nasema hata tusingeuza hata ile kilo bc kusingekua na madhara maana ndio Sera yetu
Hizi blah blah kawaimbie MaCCM wenzio, ila mahesabu yako wazi, mapato ya ukulima yameshuka hadi $508.8 million kutoka $1.129 billion
Kwa nchi maskini kama nyie sio poa, mjifikirie na kujitafakari
 
Forum statistics

Threads 1,344,375
Members 515,441
Posts 32,817,895
Top