Duh! Licha ya Tz kutuuzia mahindi mengi, ila uuzaji wa mazao ya kilimo nje ya nchi umeshuka 55%

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
18,021
Points
2,000

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
18,021 2,000
Mkuu,

Labda nikuambie tu kuwa unafanya kazi ya kujaza maji kwenye gunia.

Thread zako zote kuhusiana na Tanzania zimejaa utoto mwingi na hazina madhara yeyote.

Ni kufahimishe tu kuwa uongozi huu, maendeleo yetu yanakwenda kwa kasi mno.

Mnayo haki ya kutetemeka na kuanza kuzusha mnachofikiri kitawapooza nafsi zenu.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
8,875
Points
2,000

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
8,875 2,000
Sio data zangu, soma uelewe....
Mapato ya mauzo ya ukulima yameshuka 55%, sasa ukizingatia kipindi hicho sisi ndio tumenunua sana, ina maana kama tungefuata Zambia na kuwaacha nyie, hayo mauzo yangeshuka 95%
Bila ya sisi mtateseka sana licha ya kuwa na nchi kubwa yenye rotuba kila sehemu maana hamjui ujanja wa biashara, kazi kupiga piga kifua huku mkiogelea kwenye umaskini.

Mlitucheka tulipofuata soko Uchina, mauzo yetu kwennda Uchina yameongezeka 74% ndan ya miezi michache, akili kubwa sio pumba.
Ila we jamaa una akili finyu, mauzo yanayoongelewa hapo ni cash crops mzee, hakuna mahindi hapo, ni vitu kama cotton, sisal, coffee, tea, tumbaku na vitu kama hivyo...

Hahaha eti kama ninyi msingenunua mahindi ingekua 94% dah! We utakua na mtindio wa ubongo, kwa kifupi hizo ni data za kabla mauzo ya juzi ya korosho hayajafanyika

Kenya hamna mchango wowote tangible kwenye mauzo ya mazao yetu na wala mnachonunua hakirekodiwi sababu itakua ni matumizi mabaya ya muda na wino, you are purchasing almost nothing compared to the real moguls

Hii ndio sababu 👇👇👇👇👇 count yourself out of this for God's sake

Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
208
Points
500

Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2019
208 500
Sio data zangu, soma uelewe....
Mapato ya mauzo ya ukulima yameshuka 55%, sasa ukizingatia kipindi hicho sisi ndio tumenunua sana, ina maana kama tungefuata Zambia na kuwaacha nyie, hayo mauzo yangeshuka 95%
Bila ya sisi mtateseka sana licha ya kuwa na nchi kubwa yenye rotuba kila sehemu maana hamjui ujanja wa biashara, kazi kupiga piga kifua huku mkiogelea kwenye umaskini.

Mlitucheka tulipofuata soko Uchina, mauzo yetu kwennda Uchina yameongezeka 74% ndan ya miezi michache, akili kubwa sio pumba.
Unaelewa nachokuuliza? Au bc kama huelewi ngoja nifanye kama mtoto Mdogo. Swali la kwanza ninyi mumenunua mazao gani kutoka Tz? . kama mumenunua mahindi ndio maana nikakuuliza hayo mauzo yameshuka kutokana na mazao ya mahindi?. Na ukitaka kujua mahindi yanazuiwa kuuzwa nje na ndio maana Kenya wakiuziwa mahindi na TZ inakuwa sawa tumewasaidia hata kama wametoa Pesa sababu sio Sera ya TZ kuuza mazao ya chakula nje .sasa sikuelewi unavyohusisha kushuka kwa Pesa ya mazao na mahindi tu naona unapigia upatu jambo usilolijua
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,925
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,925 2,000
Social media bana 😂😂😂 una login unaita watu masikini wa kutupwa alafu una log out unachemsha zako mananga, sukuma, terere zisizo na chumvi wala mafuta kisha unakula, asee 😂😂😂
Afadhali ya masikini wa Tanzania anajimudu mara kibao.
Ndio utamu wa social media, kila mtu ana uhuru wa kusema ukweli kama ulivyo, maana Watanzania hamjazoea kuambiwa kama ilivyo, lakini huku hakuna anayejali hisia zenu, mnaambiwa tu, mlivyo maskini licha ya raslimali zote hizo.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
8,875
Points
2,000

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
8,875 2,000
Yaani na utalii ita-cross $3bln ndo maana wanaanzisha propaganda za ebola!
Kabisa, kwenye utalii mambo yanazidi kunoga, pamoja na vitisho vyote hivyo lakini bado watalii wanamiminika Tanzania, juzi PM kapokea batch ya watalii wengine zaidi ya 1000 tena kutoka nafikiri Israel

Kwenye gold humu humu kipindi kile cha makinikia walitutishia kwamba tutapigwa mnada ooh hauwezi kushindana na mzungu lakini pamoja na JPM kupiga pini mpaka leo makinikia ambayo kwa mwezi zilikua zikisafirishwa kontena zaidi ya 300 badala yake badala mapato yashuke ndio kwaanza yanazidi kupanda kila siku bila export ya makinikia
 
vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
943
Points
1,000

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
943 1,000
Ndio utamu wa social media, kila mtu ana uhuru wa kusema ukweli kama ulivyo, maana Watanzania hamjazoea kuambiwa kama ilivyo, lakini huku hakuna anayejali hisia zenu, mnaambiwa tu, mlivyo maskini licha ya raslimali zote hizo.
Tanzanians have some loopsided view of the world, what govt says to them is always correct.
 
mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
10,612
Points
2,000

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
10,612 2,000
Korosho zote zimeuzwa na tayari serikali imetia 700M USD kibindoni tayari kwa maandalizi ya msimu huu ulioanza mwezi huu ambayo mavuno yake ni ya kufa mtu

Tunategemea kupata USD 1B kwenye mauzo ya msimu huu
Twitter zinakuwa Ni habari zenu za kupika Tena Ni Serikali na hamna comment hata moja ya mkulima kuweka usahihi wa uongo wenu.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
8,875
Points
2,000

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
8,875 2,000
Twitter zinakuwa Ni habari zenu za kupika Tena Ni Serikali na hamna comment hata moja ya mkulima kuweka usahihi wa uongo wenu.
Wakulima walishaiuzia serikali korosho zao zote so wa kutoa taarifa kama zimeuzwa au bado zipo kwenye maghala ni mkulima au serikali?

Hata hivyo baada ya mkulima kuvuna korosho zake hupeleka kwenye maghala ya cooperative societies {hii ni kwa cash crops zote Tanzania} kisha hupewa percentage ya pesa yake huku cooperative societies zikideal na wanunuzi, so hata hivyo lazima taarifa za jumla awenazo serikali na sio mkulima.
 
babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
2,685
Points
2,000

babayao255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
2,685 2,000
Ndio utamu wa social media, kila mtu ana uhuru wa kusema ukweli kama ulivyo, maana Watanzania hamjazoea kuambiwa kama ilivyo, lakini huku hakuna anayejali hisia zenu, mnaambiwa tu, mlivyo maskini licha ya raslimali zote hizo.
Ukweli upi huo wa heading kutofautiana na habari,
Wewe ni mjinga mnoo.
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,925
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,925 2,000
Ukweli upi huo wa heading kutofautiana na habari,
Wewe ni mjinga mnoo.
Wapi zimetofautiana, tatizo lenu kingereza huwapa changamoto sana.
Uuzaji wa mazao ya kilimo kwenu umepungua asilimia 55% yaani kwa mwaka 2019 mumeuza nje $508.8 million kutoka $1.129 billion za hapo awali, hii imechangiwa na vurugu zenu kwenye korosho.
Hizi ni takwimu za mauzo ya kilimo chote bila kuchagua aina gani ya mazao, hivyo kama mumedondoka vyote hivyo ukizingatia Kenya walinunua sana kutoka kwenu, ina maana tungeelekeza pua kwengine kama vile Zambia mngeteseka sana.
Najua napiga ngitaa ambayo hauna uwezo wa kuelewa wala kufahamu kinachozungumzwa kuhusu, ndivyo mlivyo watu wa mapambio.
 
babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
2,685
Points
2,000

babayao255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
2,685 2,000
Wapi zimetofautiana, tatizo lenu kingereza huwapa changamoto sana.
Uuzaji wa mazao ya kilimo kwenu umepungua asilimia 55% yaani kwa mwaka 2019 mumeuza nje $508.8 million kutoka $1.129 billion za hapo awali, hii imechangiwa na vurugu zenu kwenye korosho.
Hizi ni takwimu za mauzo ya kilimo chote bila kuchagua aina gani ya mazao, hivyo kama mumedondoka vyote hivyo ukizingatia Kenya walinunua sana kutoka kwenu, ina maana tungeelekeza pua kwengine kama vile Zambia mngeteseka sana.
Najua napiga ngitaa ambayo hauna uwezo wa kuelewa wala kufahamu kinachozungumzwa kuhusu, ndivyo mlivyo watu wa mapambio.
We mbu mbu mbu muabudu kingereza,
Hiyo link si inazungumzia Cash crop akina cashew nuts, sasa food crop akina mahindi imetoka wapi hapo?
 
lwiva

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Messages
3,121
Points
2,000

lwiva

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2015
3,121 2,000
Unatumia nguvu nyingi kujaza uzi bla bla ambazo sidhani hata kama kuna mtu anapoteza muda kuzisoma labda waimba mapambio wenzio, cha msingi takwimu zinaonyesha mapato yenu ya kilimo kwenda nje yameshuka 55% ukizingatia sisi ndio tumenunua sana kutoka kwenu, hivyo tungefuata mahindi kwengine kama vile Zambia, mngesota na kukauka balaa, sisi huwakomboa sana hata mkijipiga kifua.

Bila ya sisi mtaendelea kuogelea kwenye lindi la umaskini.
Alisikika mnuka mafii mmoja kutoka kibera
 
Forum statistics

Threads 1,344,038
Members 515,307
Posts 32,805,628
Top