Duh, leo nalala Chanika……………………..!

Kumbe ulilala chanika ndo mana sikuona vikombe ya kahawa asubuhi.
 
Kwa vile msg yako ya asubuhi umesema umedamkia oficin,unasubiriwa na kikao cha familia jion.

Maaamaaaa, Cantalisia utamuumiza baba, bwana. Mwisho atasingizia malaria, huko net wanafugia kuku ujue
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…