Duh!!!... kweli Vishindo vya mashua havishtui bahari...literally! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh!!!... kweli Vishindo vya mashua havishtui bahari...literally!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ab-Titchaz, Oct 31, 2012.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Balaa la Hurricane Sandy!...

  [​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Mitihani yake Mwenyeezi Mungu amewapa Wa-Marekani..........Mkuu.@Ab-Titchaz
   
 3. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hizi ni dalili za siku za mwisho kwa mujibu wa Biblia.
   
 4. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  hii kitu ingetokea bongo sijui ingekuwaje ?
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Sasa hivi Dar ingekua imesukumwa hadi Moro....
   
 6. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sasa sijui Moro nayo ingeenda wapi mwe!
  wizara ingetoa ramani mpya ya tz tena.
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tubaki kusikia haya yanatokea kwa wenzetu maana yakitokea kwetu ni maafa makubwa,wenzetu miji yao imepangwa hivyo ni rahisi kufikia watu tofauti na sisi ambao tumejenga karibu karibu hata pa kupitisha gari hakuna.
   
 8. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Malipo ya Ukameroon na Shangazi yake Mrs Clinton.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mabomu na ndege za kivita za kisasa hazikuwasaidia kabisa!!
   
 10. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  tz ful bata izi shida hatujazoea,siku zikitokea tutasema poo
   
 11. RR

  RR JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mungu anatulinda bana....
  Uwezo wetu wa kukabiliana na majanga (hasa ya asili) ni mdogo mno.
  Sana sana ingekua bonge la sapraiz......

   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  duuh kweli huu mtihani na kampeni sijui zinaendeleaje huko?
   
 13. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,033
  Likes Received: 8,523
  Trophy Points: 280
  Obama alikatisha kampeni akaenda kutembelea maafa New jersey.
  Na amejichukulia ujiko kwa jinsi alivyoshughulikia maafa hayo which means ameoffset ile issue ya benghaz.

  Vilevile hali inaanza kueleweka huku Newyork stock exchange wakijiandaa kufungua.
   
Loading...