Duh, Kweli Mungu ni wa ajabu'

Duh, Kweli Mungu ni wa ajabu'

Box 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
506
Reaction score
117
Jamaa mmoja alikua na njaa sana siku moja,ikabidi apige magoti na kuomba akiwa kwake "eehhe! Mungu naomba unijalie niokote angalau elfu mbili, naahidi elfu moja ntairejesha kwako kama sadaka na kutumia elfu moja tu".

Baadae akatoka na kwenda kutembea,akiwa njiani Mungu si Athumani akaokota elfu moja na kushangaa sana huku akisema,"kweli

Mungu wewe ni wa ajabu yaani umeamua kukata elfu yako kabsa"
 
Cheza na. Vyote co mwenyezi mungu
 
Mungu anaujua udhaifu wetu so :rolleyez:alimwepushia dhambi ya kutorudisha alfu
 
Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !

Near by Sumbawanga Road Tunduma Mbeya Tanzania.
 
Back
Top Bottom