Duh, kumbe NATA ni bonge la mjasiliamali...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh, kumbe NATA ni bonge la mjasiliamali...!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtambuzi, Sep 8, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Haya dada tumeona, japo umejichimbia viunga vya MAPINGA huku BAGAMOYO

  [​IMG]
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  NATA ni mwana JF mzoefu, lakini sikujua kama ana viunga vya minazi huko Mapinga Bagamoyo, pamoja na duka kubwa la bidhaa mbalimbali.... Hongera sana dada.......LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mzee Mtambuzi usinitag siredi hii weekend nshaanza majukumu mie lol-mtambuzi kumbuka majina yanafanana watu wasianze kum PM nata wawatu bureeeeeeeeee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Sio majina yamefanana tu mkuu?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  labda na Nata Hotel ni yake?
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  117640356_54b5083310.jpg mzee wa mia inawezekana anahusika hapa!!!
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  ....Weye ulikuwa hujui Mtambuzi!!!? Halafu kwenye kilimo kwanza yuko kwa sana tu tena kwa kilimo cha kileo si kile cha mwaka 47...Mwache NATA aende zake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh :second:
   
 9. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nata ipi? nata ya mkoani mara au ya botswana? nina hakika hiyo picha imepigwa nata, botswana na inaelekea mpigaji alikuwa kwenye barabara ya francistown - kasane karibu na junction ya kwenda maun. mahala hapo napatambua sana ni kwa wakwe zangu, opposite na hiyo nyumba upande wa pili wa barabara pana nyumba ya mama mkwe wangu ambayo ipo nyuma ya kituo cha mafuta na ule mgahawa wa wasafiri. JF ni kiboko mtu unaweza kuletewa picha ya chumbani kwako hapa!!! LOL
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nia yako kunisogezea Takukuru karibu yangu.lol!
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Bora unisaidie friend, yaani huyu Gustavo !
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Kwani ile pesa ya Vocha za pembejeo za kilimo ndio illishia hapo badala ya kwenda kwa walengwa, mbona form zilikuwa na sahihi !!!
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Halafu wewe umegusa ikuklu acha maneno hiyo bana!
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  waswahili mna maneno!!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  ...Endelea na juhudi zako rafiki.

   
Loading...