mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
ni weekend tayari! naanza na mchemsho then kitu cha castle!!Watu wengine mna moyo. Mbona mimi siko interested.Napita kwanza see you later.
ni weekend tayari! naanza na mchemsho then kitu cha castle!!
no acha tuanzie kwanza rose garden, then baadae ndo tujisongeze simba kapakatwa mkuu!maeneo ya simba kapakatwa ndio mazuri zaidi..
hivi wazee wa dar es salaam ni waislm tu??? kwani ndo wamejaa na wakwanza kupiga makofi wakati hata katiba hawajui ni nini, mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne hajui katiba sembuse wazee wa elimu dunia????? nina mashaka ili isemekane watu walijaaNa kibaya zaidi wazee wenyewe wa kiswahili hawa...wazee wa ghahawa,wazee ambao kwao elimu dunia mwiko,wao kila kitu wanapiga makofi tu
WAZEE WA DARESSALAAAAMU
ni weekend tayari! naanza na mchemsho then kitu cha castle!!
pembeni valuer ya bariiidi..
Watu wengine mna moyo. Mbona mimi siko interested.
Napita kwanza see you later.
Lakini ndo wa kwanza kulaumu kilichozungumzwa wakati hujasikiliza.Watu wengine mna moyo. Mbona mimi siko interested.
Napita kwanza see you later.
Nimeanza kuamini maneno yenu.
Kikwete anaongea na wazee wa CCM Dar-es-salaam badala ya ku-address issue nzito za kitaifa anaanza kuzungumzia sarafu ya Euro mara bei ya Sukari which means vurugu, maandamano, mabomu na hali ya nchi kukosa control kabisa is 'None of his business!'
ni weekend tayari! naanza na mchemsho then kitu cha castle!!
we umeanza kunywa juzi,tuliozinya had tukaamua kuacha valuu haiendani na mchemsho,inakwenda na kitimoto,nyamachoma.
Serikali ya CCM haijawahi kuwa nzuri toka wakati wa NYERERE, RUKSA, MKAPA hadi KIKWETE. Hakunasi ndio hata mimi nashangaa, huu moyo wa watu kumsikiliza unatoka wapi? tatizo lipo kwa wananchi, yaani huyu hakustahiri kuwa na mtu anaemuunga mkono mpaka mida hii, jamani hivi ina maana watanzania ndio wavumilivu sana wa matatizo au matatizo hayajafika pabaya zaidi au ni wajinga...maana nashindwa kuelewa, serikali mbovu namna hii lakini bado tu mnaishobokea.......anyway wanasema kuna demokrasia, endeleeni kwa kweli wenye huo moyo mimi siwezi, naona nitapasuka kwa hasira nikimuona kwenye screen.
ukitaka kujua tabia ya mtu mwangalie rafike ni yupi
kwa hivo ukitaka kujua tabia ya jk muono wake na haiba yake bila shaka kwazijua tabia za wazee wa darasalamu
wavivu,wanwa kahawa, mawazo finyu, wao bora kukuche,
kweli nimeshangazwa na JK kuka kimya kuhusu mwenendo wa hali ya amani nchini.