Duh! Kagame alivyo mfupi kwenye picha ya familia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,415
Ukizingatia yeye ndiye rais mrefu zaidi ya wote Afrika.

D-8s6DZX4AAAezZ.jpg:large
 
Kweli inategemea unalinganishwa na nani,maana Joti alikuwa anaonekana ndio mfupi ila alipokutana na Mwala yeye akajiona mrefu.
 
Ukizingatia yeye ndiye rais mrefu zaidi ya wote Afrika.

D-8s6DZX4AAAezZ.jpg:large

Hata Ivan Cyomoro ni mfupi tu hiyo picha inamfanya mrefu!

Kagames mtu mrefu legitimately ni Ange tu,wengine wote wafupi!

Na i doubt,Kagame alisaidiwa na bodyguard hapo!
 
Back
Top Bottom