Duh, huyu Mzungu ana hoja nzito, tumsikilize

Duh, huyu Mzungu ana hoja nzito, tumsikilize

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,527
Reaction score
7,121
Katika clip hii, Mzungu amempa Atheist, uthibitisho wa nguvu kuwa Mungu yupo. Mwishoni Atheist amekubali atatafakari aliyoambiwa.

View: https://youtube.com/shorts/d7iJWV7V2Jg?si=Sr8ILKv-n-nmPbd2
Clip hii inaonyesha wazi Atheists wakiujua ukweli wako tayari kubadilika na kuwa Wakristo. Hivyo tusiwakatie tamaa kina Infropreneur
Tuendelee kuwapa uthibitisho kwa heshima na upendo. Wakitutukana, tuwasamehe bure, hawajui walitendalo.
 
Hiyo hoja haijitoshelezi kwa baadhi yetu.
Kwanini haijitoshelezi? Hoja hiyo imejengwa kwenye Biblia, kitabu cha kuaminika. Soma nyuzi hizi uone jinsi Biblia ilivyo tofauti na vitabu vingine:
 
Fan Farming imeisha sasa makucha na sura halisi inajitokeza.

Umbwa mwitu aliyejivika ngozi ya Kondoo.

Kwa wale wasiojua Fan Farming

Fan Farming
Nakushauri Mwananchi ufanye tafiti zako Gugu na kwingineko.

Kiufupi mbinu hii au Fan Farming hutumiwa na hawa wanaojiita Infuencers waonekane kuwa na ushawishi mkubwa au wa kuaminika kuliko walivyo.

Huyu Infropenuer ni mbaguzi. He is just another bigoted racist twaat.

Hapa, anakuzwa na roboti hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom