Duh, hii ni balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh, hii ni balaa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbimbinho, Aug 17, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,081
  Likes Received: 1,508
  Trophy Points: 280
  Ajali mbaya ilitokea, akina mama ambao wote ni wake za watu waliamua kwenda kutalii mbuga za wanyama,wakati wanaenda huko basi lao likatumbukia mtoni akina mama wote wakafariki. Zilifuata wiki mbili za majonzi makubwa na baada ya hapo watu wakaanza kusahau, lakini Deus akawa kila akiingia bar baada ya bia mbili anaanza kulia;
  DEUS: Mke wangu eeee kwanini lakini? kwanii jamani? Watu walimpa pole lakini akawa hanyamazi,mwisho jamaa mmoja akaona amuondolee uvivu.
  Jamaa: Aise umezidi sasa, kama kufiwa wanaume wengi wamefiwa na wamekwisha nyamaza kwani mkeo alikuwa na nini zaidi?
  DEUS: (Huku akilia),Nyinyi hamjui yaliyonikuta, mimi mke wangu alichelewa lile basi.Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kudadadeki kama ni chuki hii ni grade one :-!
   
 3. r

  red16 Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Made my day, it z so fun huyo mke alitewa nn?
   
 4. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuuh! hizi ndoa zina mengi wajameni!!!
   
 5. serio

  serio JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,389
  Likes Received: 522
  Trophy Points: 280
  duuuuuuuuuuuuuuuuuh
   
 6. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 953
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  hii balaa aiseeeeeeeee
   
 7. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da hii kali.
   
 8. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 718
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii chiboko yao!
   
 9. KISHOKA_ZUMBU

  KISHOKA_ZUMBU Senior Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwanaume wa kweli halii bali huchukua maamuzi magum.
  Anyway inafurahisha!!
   
 10. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli alikuwa hampendi. Anaweza kumfanyia ya yule aliyemburuza mkewe kwa gari
   
Loading...